Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
kisayansi,Hizi ni Takwimu ambazo tumezipata huku kwetu Lumumba. Zikionesha Mbowe bado anakubalika vizuri tu.
Mikoa ambayo inamuunga Mkono Tundu Lissu.
1. Ruvuma
2. Rukwa
3. Katavi
4. Simiyu
5. Shinyanga
7. Geita
8. Mbeya
9. Mwanza
10. Mara
11. Kagera
12. Iringa
13. Singida
Mikoa ambayo inamuunga mkono Mwamba wa Kaskazini Freeman Mbowe
1. DSM
2. Pwani
3. Lindi
4. Mtwara
5. Arusha
6. Kilimanjaro
7. Njombe
8. Manyara
9. Mabaraza ya vyama
Mikoa ambayo wamegawana.
1. Songwe
2. Dodoma
3. Tabora
4. Tanga
5. Kigoma
Hizi Takwimu zimeletwa kwetu na Vijana wetu ambao wapo kazini muda huu. /Kanda/mabaraza haimanishi 100% either side isipokuwa majority.
Mama anaweweseka huko.....yataletwa manegi kama yooteeeeUnataka kusemaje? Kikoba chetu hamchukui ng'oo kwanza ngoja nipige simu kwa kaka Abdul atume begi la hela tuwape nauli wajumbe.
Sijajua bado ngoja tuendelee kufuatilia na tayari kuna watu wameenda kumwona Mbowe na kumshauri .mambo kadhaa. Maana hatutaki Chadema uongozi aje chukua huyo Lissu. Lissu hajui kutunza siri. Friji yake haigandishi. Mbowe mwamba abaki tufanye naye siasa.kisayansi,
unadhani mgombea akishinda kwa kishindo kanda na mikoa ipi mitatu tu ya kiutawala Chadema ni lazima pia ataibuka mshindi wa jumla katika uchaguzi huo wa Chadema ngazi ya taifa?🐒
Sijajua bado ngoja tuendelee kufuatilia na tayari kuna watu wameenda kumwona Mbowe na kumshauri .mambo kadhaa. Maana hatutaki Chadema uongozi aje chukua huyo Lissu. Lissu hajui kutunza siri. Friji yake haigandishi. Mbowe mwamba abaki tufanye naye siasa za utulivukisayansi,
unadhani mgombea akishinda kwa kishindo kanda na mikoa ipi mitatu tu ya kiutawala Chadema ni lazima pia ataibuka mshindi wa jumla katika uchaguzi huo wa Chadema ngazi ya taifa?🐒
Sijajua bado ngoja tuendelee kufuatilia na tayari kuna watu wameenda kumwona Mbowe na kumshauri .mambo kadhaa. Maana hatutaki Chadema uongozi aje chukua huyo Lissu. Lissu hajui kutunza siri. Friji yake haigandishi. Mbowe mwamba abaki tufanye naye siasa za utulikisayansi,
unadhani mgombea akishinda kwa kishindo kanda na mikoa ipi mitatu tu ya kiutawala Chadema ni lazima pia ataibuka mshindi wa jumla katika uchaguzi huo wa Chadema ngazi ya taifa?🐒
Mbowe ni muungwana, ukiweka pesa tu basi mnafanya maridhiano nayeSijajua bado ngoja tuendelee kufuatilia na tayari kuna watu wameenda kumwona Mbowe na kumshauri .mambo kadhaa. Maana hatutaki Chadema uongozi aje chukua huyo Lissu. Lissu hajui kutunza siri. Friji yake haigandishi. Mbowe mwamba abaki tufanye naye siasa.
Maccm mnahangaikaHizi ni Takwimu ambazo tumezipata huku kwetu Lumumba. Zikionesha Mbowe bado anakubalika vizuri tu.
Mikoa ambayo inamuunga Mkono Tundu Lissu.
1. Ruvuma
2. Rukwa
3. Katavi
4. Simiyu
5. Shinyanga
7. Geita
8. Mbeya
9. Mwanza
10. Mara
11. Kagera
12. Iringa
13. Singida
Mikoa ambayo inamuunga mkono Mwamba wa Kaskazini Freeman Mbowe
1. DSM
2. Pwani
3. Lindi
4. Mtwara
5. Arusha
6. Kilimanjaro
7. Njombe
8. Manyara
9. Mabaraza ya vyama
Mikoa ambayo wamegawana.
1. Songwe
2. Dodoma
3. Tabora
4. Tanga
5. Kigoma
Hizi Takwimu zimeletwa kwetu na Vijana wetu ambao wapo kazini muda huu. /Kanda/mabaraza haimanishi 100% either side isipokuwa majority.
Boss umesoma ata content ya mada au umekimbilia tu kuweka comment? Kazi kwelikweli.Unataka kusemaje? Kikoba chetu hamchukui ng'oo kwanza ngoja nipige simu kwa dalali Wenje ili nimwambie ampigie simu Abdul atume begi la hela tuwape nauli wajumbe.
Nyie wabangaizaji hatuwataki.
Kabisa. Mbowe ni mtu poa sana. Anaongeleka.Mbowe ni muungwana, ukiweka pesa tu basi mnafanya maridhiano naye
Tuache. Mpaka Mbowe ashinde. Hatumtaki huyo Lissu wenu.Maccm mnahangaika
Kazi yangu ni kutetea kikoba chetu kwa wivu mkubwa.Boss umesoma ata content ya mada au umekimbilia tu kuweka comment? Kazi kwelikweli.
Unajua hili hesabu; 9+5=14, halafu 14+2=16; mwisho wa siku 16-13=3?Hizi ni Takwimu ambazo tumezipata huku kwetu Lumumba. Zikionesha Mbowe bado anakubalika vizuri tu.