Mpaka sasa Takwimu za Lissu Vs Mbowe katika Kura

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Hizi ni Takwimu ambazo tumezipata huku kwetu Lumumba. Zikionesha Mbowe bado anakubalika vizuri tu.

Mikoa ambayo inamuunga Mkono Tundu Lissu.
1. Ruvuma
2. Rukwa
3. Katavi
4. Simiyu
5. Shinyanga
7. Geita
8. Mbeya
9. Mwanza
10. Mara
11. Kagera
12. Iringa
13. Singida

Mikoa ambayo inamuunga mkono Mwamba wa Kaskazini Freeman Mbowe
1. DSM
2. Pwani
3. Lindi
4. Mtwara
5. Arusha
6. Kilimanjaro
7. Njombe
8. Manyara
9. Mabaraza ya vyama

Mikoa ambayo wamegawana.
1. Songwe
2. Dodoma
3. Tabora
4. Tanga
5. Kigoma

Hizi Takwimu zimeletwa kwetu na Vijana wetu ambao wapo kazini muda huu. /Kanda/mabaraza haimanishi 100% either side isipokuwa majority.
 
kisayansi,
unadhani mgombea akishinda kwa kishindo kanda na mikoa ipi mitatu tu ya kiutawala Chadema ni lazima pia ataibuka mshindi wa jumla katika uchaguzi huo wa Chadema ngazi ya taifa?🐒
 
Sijajua bado ngoja tuendelee kufuatilia na tayari kuna watu wameenda kumwona Mbowe na kumshauri .mambo kadhaa. Maana hatutaki Chadema uongozi aje chukua huyo Lissu. Lissu hajui kutunza siri. Friji yake haigandishi. Mbowe mwamba abaki tufanye naye siasa.
 
Sijajua bado ngoja tuendelee kufuatilia na tayari kuna watu wameenda kumwona Mbowe na kumshauri .mambo kadhaa. Maana hatutaki Chadema uongozi aje chukua huyo Lissu. Lissu hajui kutunza siri. Friji yake haigandishi. Mbowe mwamba abaki tufanye naye siasa za utulivu
 
kisayansi,
unadhani mgombea akishinda kwa kishindo kanda na mikoa ipi mitatu tu ya kiutawala Chadema ni lazima pia ataibuka mshindi wa jumla katika uchaguzi huo wa Chadema ngazi ya taifa?🐒
Sijajua bado ngoja tuendelee kufuatilia na tayari kuna watu wameenda kumwona Mbowe na kumshauri .mambo kadhaa. Maana hatutaki Chadema uongozi aje chukua huyo Lissu. Lissu hajui kutunza siri. Friji yake haigandishi. Mbowe mwamba abaki tufanye naye siasa za utuli
 
Sijajua bado ngoja tuendelee kufuatilia na tayari kuna watu wameenda kumwona Mbowe na kumshauri .mambo kadhaa. Maana hatutaki Chadema uongozi aje chukua huyo Lissu. Lissu hajui kutunza siri. Friji yake haigandishi. Mbowe mwamba abaki tufanye naye siasa.
Mbowe ni muungwana, ukiweka pesa tu basi mnafanya maridhiano naye
 
And the things is hao waliotangaza Kumuunga mkono Lissu hawafiki Kwenye mkutano mkuu
 
Hizi ni Takwimu ambazo tumezipata huku kwetu Lumumba. Zikionesha Mbowe bado anakubalika vizuri tu.

Mikoa ambayo inamuunga Mkono Tundu Lissu.
1. Ruvuma
2. Rukwa
3. Katavi
4. Simiyu
5. Shinyanga
7. Geita
8. Mbeya
9. Mwanza
10. Mara
11. Kagera
12. Iringa
13. Singida

Mikoa ambayo inamuunga mkono Mwamba wa Kaskazini Freeman Mbowe
1. DSM
2. Pwani
3. Lindi
4. Mtwara
5. Arusha
6. Kilimanjaro
7. Njombe
8. Manyara
9. Mabaraza ya vyama

Mikoa ambayo wamegawana.
1. Songwe
2. Dodoma
3. Tabora
4. Tanga
5. Kigoma

Hizi Takwimu zimeletwa kwetu na Vijana wetu ambao wapo kazini muda huu. /Kanda/mabaraza haimanishi 100% either side isipokuwa majority.
Maccm mnahangaika
 
Unataka kusemaje? Kikoba chetu hamchukui ng'oo kwanza ngoja nipige simu kwa dalali Wenje ili nimwambie ampigie simu Abdul atume begi la hela tuwape nauli wajumbe.

Nyie wabangaizaji hatuwataki.
Boss umesoma ata content ya mada au umekimbilia tu kuweka comment? Kazi kwelikweli.
 
Hizi ni Takwimu ambazo tumezipata huku kwetu Lumumba. Zikionesha Mbowe bado anakubalika vizuri tu.

Mikoa ambayo inamuunga Mkono Tundu Lissu.
1. Ruvuma
2. Rukwa
3. Katavi
4. Simiyu
5. Shinyanga
7. Geita
8. Mbeya
9. Mwanza
10. Mara
11. Kagera
12. Iringa
13. Singida

Mikoa ambayo inamuunga mkono Mwamba wa Kaskazini Freeman Mbowe
1. DSM
2. Pwani
3. Lindi
4. Mtwara
5. Arusha
6. Kilimanjaro
7. Njombe
8. Manyara
9. Mabaraza ya vyama

Mikoa ambayo wamegawana.
1. Songwe
2. Dodoma
3. Tabora
4. Tanga
5. Kigoma

Hizi Takwimu zimeletwa kwetu na Vijana wetu ambao wapo kazini muda huu. /Kanda/mabaraza haimanishi 100% either side isipokuwa majority.
Unajua hili hesabu; 9+5=14, halafu 14+2=16; mwisho wa siku 16-13=3?
 
Back
Top Bottom