Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
duuu mwaka ule nilienda kwaajili ya lile lijamaa linene lenye ndevu kama za osama amabalo Dinazarde analipenda..likaishia kuimba yo yo yo na fu'c'k nying sikuambulia kitu zaidi ya kuibiwa tu na vibaka,leo tena naanza kuona dalili zile zile za kuibiwa maana kama mpaka saizi hajafika huyu brotherman mwingine akifika si ataishia kuimba fuc'k u all nakuondoka zake,
hivi kwa nini wanatufanyia hivi jamani? hii hela yangu ningejua ninunulie stimmmm tu
hivi kwa nini wanatufanyia hivi jamani? hii hela yangu ningejua ninunulie stimmmm tu