Mpaka sasa Tume ya uchaguzi INEC haijatoa tamko wala kuchukua hatua dhidi ya CCM licha ya kuvunja katiba

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
3,189
Reaction score
6,140
Inasikitisha kuona tume inayojiita huru, wamekuwa wepesi sana kutoa matamko na kuchukua hatua dhidi ya CHADEMA mfano siku si nyingi walipinga mchakato uliompitisha Tundu Lissu kama Mwenyekiti, Ila Mpaka sasa haijachukua hatua yoyote licha ya CCM kuvunja katiba katika kumpata mgombea wao, Na si katiba ya chama pekee, Bali katiba ya Nchi. Je, hii ndiyo tume inayotaka watanzania tuiamini?

SISI SIO WAJINGA.
 
Hamna tume pale
 
Yani ccm iwateua halafu waipinge?
Never.

Ccm itatoka madarakani kwa damu kumwagika
 
Back
Top Bottom