Mpaka sasa unaitumia vipi Akili Unde au (AI) katika kukuongezea kipato?

Mpaka sasa unaitumia vipi Akili Unde au (AI) katika kukuongezea kipato?

Kuniongezea kipato? Nitumie akili bandia? Au akili nje ya akili? Kwenye hii akili original nimeshindwa ije iwe bandia tena?
Yes inawezekana mfano ukiwa unahitaji kufanya marketing ya products yako waweza kumpa AI akuandalie tangazo bora linalovutia na wateja wakawa interested na mwisho biashara ikafanyika.
 
Kitabu kinahitaji

Michakato Kama proofreading, n.k mambo yote hayo anafanya AI n.k

Na badala ya kuandika huwa naongea AI anandika , anaweka Format ninayoitaka.
Kwahiyo anakusaidia ku
1.Type
2.Proofreading

Ila unatoa wewe akilini,that's good

AI is overrated and overhyped
For me imekuja tu kuongeza efficiency(leverage) kwa kufanya kazi ambazo contemporary computer softwares ilikua na limit kidogo

Kwa mfanyo proofreading au emperical review Google ilikua inafanya,sema hadi usome mwenyewe uchambue kitu kani unataka specifically
Ina sythesize(process) data ambazo tayari zilikuwepo i.e knowledges ,theories,principals etc
Katika ku process data ndo sometimes inakuja na kitu novel

Good day
 
Kwahiyo anakusaidia ku
1.Type
2.Proofreading

Ila unatoa wewe akilini,that's good

AI is overrated and overhyped
For me imekuja tu kuongeza efficiency(leverage) kwa kufanya kazi ambazo contemporary computer softwares ilikua na limit kidogo

Kwa mfanyo proofreading au emperical review Google ilikua inafanya,sema hadi usome kwenye uchambue kitu kani unataka specifically
Ina sythesize(process) data ambazo tayari zilikuwepo i.e knowledges ,theories,principals etc
Katika ku process data ndo sometimes inaluja na kitu novel

Good day
👊🏼
 
Kwangu kila nikiangalia naona ni suala la maamuzi ila naweza kufanya mambo mazuri zaidi ...Mara nyingi napenda kuandika topic ili ifanye research so naona wasomi wa kuandika thesis na research by bye ...Hawana kipya🤣🤣

Ninachoka sana hasa shift za usiku so inaniposuh na napendelea kutumia Google gemini ,kuna moja inaitwa loveable ; kuandaa sample za web na blog.
 
Natumia AI kujifunza graphic designing,inanijibu maswali kwa kina ambayo yalipaswa yajibiwe na mwalimu darasani,ikishajibu swali inatoa na maelekezo mengine ya ziada ambayo yanaelekeana na topic niliyouiuliza.
Kwa ujumla AI kama utaamua kuitumia katika matumizi chanya itakufikisha kwenye malengo unayotaka,sema tu unatakiwa ujue kiingereza vizuri .
Natumia ChatGPT 4.1 bure kupitia poe.com
 
Back
Top Bottom