DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Kitabu kinahitajiKitabu kijahitaji input
Unatumia njia gani kuandika kitu unachofikiria wewe mkuu
Yes inawezekana mfano ukiwa unahitaji kufanya marketing ya products yako waweza kumpa AI akuandalie tangazo bora linalovutia na wateja wakawa interested na mwisho biashara ikafanyika.Kuniongezea kipato? Nitumie akili bandia? Au akili nje ya akili? Kwenye hii akili original nimeshindwa ije iwe bandia tena?
AI inasaidia sana kurahisisha mambo mengi,mfano utengenezaji wa matangazo na mengineyo.Kuniongezea kipato? Nitumie akili bandia? Au akili nje ya akili? Kwenye hii akili original nimeshindwa ije iwe bandia tena?
Kwahiyo anakusaidia kuKitabu kinahitaji
Michakato Kama proofreading, n.k mambo yote hayo anafanya AI n.k
Na badala ya kuandika huwa naongea AI anandika , anaweka Format ninayoitaka.
AI anafanya kuliko unavyofikiri, Ni haraka, Ni rahisi na uhakika sana tu.Akili original unaitumia kuielekeza AI nini ifanye, nayo inafanya bila shida yoyote.Kuniongezea kipato? Nitumie akili bandia? Au akili nje ya akili? Kwenye hii akili original nimeshindwa ije iwe bandia tena?
👊🏼Kwahiyo anakusaidia ku
1.Type
2.Proofreading
Ila unatoa wewe akilini,that's good
AI is overrated and overhyped
For me imekuja tu kuongeza efficiency(leverage) kwa kufanya kazi ambazo contemporary computer softwares ilikua na limit kidogo
Kwa mfanyo proofreading au emperical review Google ilikua inafanya,sema hadi usome kwenye uchambue kitu kani unataka specifically
Ina sythesize(process) data ambazo tayari zilikuwepo i.e knowledges ,theories,principals etc
Katika ku process data ndo sometimes inaluja na kitu novel
Good day
Mimi natumia akili halisi kujipatia kipato ikishaitwa bandia stukaWakuu -Je kutokana na ujio wa AI unaitumiaje katika kukuongezea kipato ?
Binafsi naitumia kuandika kitabu ambacho kitaelezea MAISHA yangu binafsi na inspiration kadhaa kuhusu MAISHA.
Kinaingiza sh ngapi ghetoNIMESHAANDIKA KITABU KIPO GHETO