Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Yanga kwa kusajili namba 3 Gadiel Michael toka Azam, centre back Ninja, Buswita na Ajibu ime address mapungufu yao yaliyokuwa katika timu kwa msimu uliopita!
Sasa simba inasajili Kapombe, sijui Manula, left back, Okwi, Bocco etc wote hawa hawajibu udhaifu wa timu uliokuwepo bali ni mihemuko itakayopelekea timu kuhitaji muda kuumdwa upya! Na hilo litaidhoofisha zaidi time!