Mpaka sasa Yanga wamefanya usajili bora zaidi kuliko Simba!

Mpaka sasa Yanga wamefanya usajili bora zaidi kuliko Simba!

Yanga kwa kusajili namba 3 Gadiel Michael toka Azam, centre back Ninja, Buswita na Ajibu ime address mapungufu yao yaliyokuwa katika timu kwa msimu uliopita!

Sasa simba inasajili Kapombe, sijui Manula, left back, Okwi, Bocco etc wote hawa hawajibu udhaifu wa timu uliokuwepo bali ni mihemuko itakayopelekea timu kuhitaji muda kuumdwa upya! Na hilo litaidhoofisha zaidi time!
Udhaifu ulikuwa wapi mayanja?
 
Tukutane uwanjani.. Kwa mbali kama naziona zile TANO.. Dadaadeki!
 
Hamteteleki ki vp wakati kombe hamnalo miaka 3 mfululizo?au mnafanyiwa ma usajiri ili kuwasahaulisha point zenu za FIFA?amkeni jamani.
Mbona asernal hawana kombe eobo karne unashangaa miaka 3
 
Yanga amechukua VPL mara 3 mfululizo,kwenye miaka 10 watoto wa Jangwani wamenyanyua kwapa mara 7 hakika sioni sababu ya kuwawazia mikia ambao faraja yao ni kushinda game za Yanga na kipindi cha usajiri tu.
 
Yanga amechukua VPL mara 3 mfululizo,kwenye miaka 10 watoto wa Jangwani wamenyanyua kwapa mara 7 hakika sioni sababu ya kuwawazia mikia ambao faraja yao ni kushinda game za Yanga na kipindi cha usajiri tu.
Kwa hisani ya
Yani hapa ndipo mnapoprove utahira wenu na ubumbumbu wenu mnasajili kwa ajili ya kuifunga Yanga halafu mkikutana na kagera sugar mnakalia kiulaiiiiiniiiii Faken kweli nyie Shwain!!
Kwa hisani ya mbeleko ya Malinzi
 
Tunaoujua mpira na tulioucheza pia vile vile tunaweza kukuambia kuwa katika hao Wachezaji wote ni huyo Gadiel Michael pekee ndiyo Yanga FC imelamba dume ila kwa hao wengine hamna kitu. Ila kama Yanga FC mtamsajili yule ' Injini ' ya Mbeya City Raphael Alen nitawasifu kwani ' Dogo ' yule ni ' Fundi ' katika Midfield kama alivyokuwa Niyonzima.
Well said bro
 
Msiempenda kaja ndala fc Mzee wa tano okwiiiii
Sisi kwetu cha muhimu ni "NDOO YA VPL" tu. Hayo mengine ni ya ziada....

Okwi kakipiga misimu 5 pale Msimbazi....Misimu 4 yote okwi alikuwa akishuhudia "NDOO YA VPL" ikienda mitaa ya Jangwani ...

Endeleeni kukuza kiwango cha Umbumbumbu wenu, viongozi wa simba wanapenda sana mashabiki design yenu.
 
Tusubiri ligi ikianza.
Hivi ndio wewe msimu uliopita ulikuwa ukijinadi kuwa Simba anakuwa Bingwa?

Maana ni miongoni mwa wale wanaopenda kuishi na matumaini yasiyowezekana.[emoji23]
 
Back
Top Bottom