Mpaka sasa Yanga wamefanya usajili bora zaidi kuliko Simba!

Truth Matters

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
2,302
Reaction score
4,603
Yanga kwa kusajili namba 3 Gadiel Michael toka Azam, centre back Ninja, Buswita na Ajibu ime address mapungufu yao yaliyokuwa katika timu kwa msimu uliopita!

Sasa simba inasajili Kapombe, sijui Manula, left back, Okwi, Bocco etc wote hawa hawajibu udhaifu wa timu uliokuwepo bali ni mihemuko itakayopelekea timu kuhitaji muda kuumdwa upya! Na hilo litaidhoofisha zaidi time!
 

Tunaoujua mpira na tulioucheza pia vile vile tunaweza kukuambia kuwa katika hao Wachezaji wote ni huyo Gadiel Michael pekee ndiyo Yanga FC imelamba dume ila kwa hao wengine hamna kitu. Ila kama Yanga FC mtamsajili yule ' Injini ' ya Mbeya City Raphael Alen nitawasifu kwani ' Dogo ' yule ni ' Fundi ' katika Midfield kama alivyokuwa Niyonzima.
 
Hadi sasa yanga sijui mhambuliaji wa uhakika pengo hilo nani anaziba...
 
Hadi sasa yanga sijui mhambuliaji wa uhakika pengo hilo nani anaziba...
Yanga haina tatizo la ushambuliaji, yeyote anaweza kufunga. Hilo limedhihirika baada ya kufunga magoli mengi kuliko timu yoyote kwa miaka miwili mfululizo.

Huenda utaniambia Ngoma ndiye mshambuliaji wa uhakika unayemzungumzia. Nikukumbushe kuwa tangu Mapinduzi Cup, Januari, 2017 Ngoma hakucheza tena mchezo wowote wa maana ukiondoa mechi ya USM Algiers ambapo alicheza dakika chache.

Yanga imetumia wachezaji wale wale wasiokuwa na majina hadi kuondoa gap la 8 pts za mikia fc na hatimaye kubeba ubingwa.

Kwa combination ya viungo wa Yanga pale mbele Ajib atafunga magoli mengi sana na huenda akaibuka mfungaji bora 2017/2018 hadi mikia itashangaa!!!
 
kweli wewe ndala .......udhaifu wa simba msimu uliopita ni upi?
 
Mpaka sasa mikia mchezaji wa maana wqliemsajili ni manula pekee,hao wengine zimebaki mbwembwe tu
 
Acha kuiga vitu visivyo vya kwako. Haiwezekan kabisa kuwa Yanga Damu kwani simba Damu ni kwa sababu Damu ina rangi nyekundu rangi inayotumiwa na timu ya simba. Upo hapo?
Huu ndio umbumbumbu aliowaambia Rage.

Ngoja nikupe shule tena bure:

Damu ni uhai, ninaposema Yanga Damu naamanisha kuwa niko tayari kutoa hata chochote na hata uhai wangu ili Yanga iendelee kuwa hai.

Usikariri kwamba unaposikia neno 'damu' basi maana yake ni 'rangi nyekundu'. Tutaendelea kuwaelimisha tu enyi mambumbumbu ya m-simba-zi.
 
Yaani hawa jamaa ni mbumbumbu mpaka wanaingiwa na utaahira
 
Tukutane FA CUP, ndipo itajulikana nani yupo vizuri.
 
Kweli umefikir kwa kutumia hisia sio ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…