Atakayejibu nampa ofa ya kitimotoMikia fc hivi Rufaa ya fifa vipi
Udhaifu ulikuwa wapi mayanja?Yanga kwa kusajili namba 3 Gadiel Michael toka Azam, centre back Ninja, Buswita na Ajibu ime address mapungufu yao yaliyokuwa katika timu kwa msimu uliopita!
Sasa simba inasajili Kapombe, sijui Manula, left back, Okwi, Bocco etc wote hawa hawajibu udhaifu wa timu uliokuwepo bali ni mihemuko itakayopelekea timu kuhitaji muda kuumdwa upya! Na hilo litaidhoofisha zaidi time!
Hamteteleki ki vp wakati kombe hamnalo miaka 3 mfululizo?au mnafanyiwa ma usajiri ili kuwasahaulisha point zenu za FIFA?amkeni jamani.Wewe ni yanga bila shida ila hatutetereki na maandishi
Mbona asernal hawana kombe eobo karne unashangaa miaka 3Hamteteleki ki vp wakati kombe hamnalo miaka 3 mfululizo?au mnafanyiwa ma usajiri ili kuwasahaulisha point zenu za FIFA?amkeni jamani.
Kama hawakuwa zaifu mbona kombe hawakulibeba miaka 3?kweli wewe ndala .......udhaifu wa simba msimu uliopita ni upi?
Yani hapa ndipo mnapoprove utahira wenu na ubumbumbu wenu mnasajili kwa ajili ya kuifunga Yanga halafu mkikutana na kagera sugar mnakalia kiulaiiiiiniiiii Faken kweli nyie Shwain!!Tukutane FA CUP, ndipo itajulikana nani yupo vizuri.
Hahahahaaaa. Wacha kutonesha kidonda weweMikia fc hivi Rufaa ya fifa vipi
Ndala mnachekeshaMrisho Ngasa nae kasajili miaka 2 Yebo FC..
Kwa hisani yaYanga amechukua VPL mara 3 mfululizo,kwenye miaka 10 watoto wa Jangwani wamenyanyua kwapa mara 7 hakika sioni sababu ya kuwawazia mikia ambao faraja yao ni kushinda game za Yanga na kipindi cha usajiri tu.
Kwa hisani ya mbeleko ya MalinziYani hapa ndipo mnapoprove utahira wenu na ubumbumbu wenu mnasajili kwa ajili ya kuifunga Yanga halafu mkikutana na kagera sugar mnakalia kiulaiiiiiniiiii Faken kweli nyie Shwain!!
uki-google huyo mchezaji utafurahi mwenyewe timu aliyochezeaMrisho Ngasa nae kasajili miaka 2 Yebo FC..
Well said broTunaoujua mpira na tulioucheza pia vile vile tunaweza kukuambia kuwa katika hao Wachezaji wote ni huyo Gadiel Michael pekee ndiyo Yanga FC imelamba dume ila kwa hao wengine hamna kitu. Ila kama Yanga FC mtamsajili yule ' Injini ' ya Mbeya City Raphael Alen nitawasifu kwani ' Dogo ' yule ni ' Fundi ' katika Midfield kama alivyokuwa Niyonzima.
Sisi kwetu cha muhimu ni "NDOO YA VPL" tu. Hayo mengine ni ya ziada....Msiempenda kaja ndala fc Mzee wa tano okwiiiii
Hivi ndio wewe msimu uliopita ulikuwa ukijinadi kuwa Simba anakuwa Bingwa?Tusubiri ligi ikianza.
Mwaka gani huo Mkuu? Ebu nikumbushe kidogo Mimi nisiyekumbuka.Usajili wa simba mwaka huu ni kama wa Real Madrid wakati ule mastaa wote ndani
Kama ukitaka kuzimia kabisa na kupelekwa ICU pale Mhimbili.....Google timu alizocheza "KOTEI"....[emoji23][emoji23]uki-google huyo mchezaji utafurahi mwenyewe timu aliyochezea