ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Soko mjinga na soko mapenziWahenga walifikiria Nini wakayatungia majina masoko wakayaita soko mjinga na yapo kila mkoa..maana yake Nini kwamba ni soko chafu au dogo au lisilo kuu maana nawaza je soko likiwa mtaani ila safi la kisasa na lenyewe tuliite soko mjinga?
Kwamba watu wanajamiina Sokoni?! Hiyo inawezekanaje?!🤔Ni yale masoko akombayo ukiyaona ni kama Kama biashara inafanyika lakini kumbe ni mishangazi inajiuza.
Ni kujamiiana kwa kwenda mbele.
Wanajiuza pale sokoni na pakujamiiana hapajawahi kukosekana hata siku Moja, mkishaelewana. Kama huamini nenda kwenye ule Uzi wa kula tunda kimasihara.Kwamba watu wanajamiina Sokoni?! Hiyo inawezekanaje?!🤔