Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,097
Mimi Cjaelewa Kdg. Tunaposema Tutaanzisha Mahakama Kwa Ajili Ya Kuwashughulikia Mafisadi,
>Je, Kwani Sheria Tulizonazo Zilikua Zinaruhusu Ufisadi?
>Alafu Je, Makosa Ya Ufisadi Hayawezi Kushugulikiwa Na Mahakama Zetu Zilizopo?
>Je, Pale Endapo Hakutakua Na Kesi Za Ufisadi,majaji Wa Mahakama Hiyo Watakua Wanafanya Kazi Gani?
>Mbona Akina Mramba, Yona Wameshtakiwa Kwa Sheria Zilizopo?
Mimi Ninachoona Cha Muhimu Ni Kuchukua Maamuzi Ya Kuwafikisha Wote Watakaobainika Wamefanya Ufisadi. Maana Tatzo Kubwa Lililokuwepo Ni RAIS Kuogopa Kuamuru MAFISADI Wote Wakamatwe Na Kufikishwa Mahakamani.
Ni Maoni Tu. Mimi Ni MCHUNGAJI Na Sio Mwanasiasa.
MUNGU Umlinde RAIS Wetu Na Viongozi Wote, KWA JINA LA YESU KRISTO.Amen