Mpaka wa Namanga wafungwa kwa muda baada ya Kenya kuwazuia madereva malori kutoka Tanzania kwa kutokuamini vipimo vyao vya #Corona

Mpaka wa Namanga wafungwa kwa muda baada ya Kenya kuwazuia madereva malori kutoka Tanzania kwa kutokuamini vipimo vyao vya #Corona

Kama watu wana nia mbaya hata kama wakikubali kupimwa wataanbiwa wako postive
Kumbuka nyuma kabla hapohapo namanga, kuna dereva alipima kenya akaambiwa ana corona, akarudi TZ akapima hana corona,
Pia kuna mkenye alipima busia kenya akaonekana ana corona akarudiswa ili akae quarantine akagoma, akataka apimwe upya, walipo mpima hakuwa na ugonjwa, wakaridia kwenye mashine nyingine akawa negative, sasa hao wakenya wanataka waaminike vipi?
Wao wameamua nasi tuanaamua basi.
Ok, nimekuelewa. lakini wakati ule vipimo vyetu si vilikuwa na hitilafu, sasa hauoni kama bado tunajikanganya. All in all, kama majirani wanania mbaya acha tupambane tu.
 
Wale wajinga wa ha wake lockdown mpaka chanjo izunduliwe wasubirie kupewa pocket money na wazungu
Tatizo ni wewe usiyeelewa msingi wa msimamo wa Tanzania, na uchovu wako wa kifikra na uzwazwa wako wa kudhani kuwa Tanzania ya sasa bado ni kichwa cha mwendawazimu. Jitambue kijana na hakuna kiongozi wa Tanzania aliyetangaza kuwa corona haipo Tanzania km unavyojiyakinisha.

Corona ipo na tutaendelea kuishi nayo kwa muda kama ambavyo tunavyoishi na magonjwa mbalimbali, mengine yanayoua watu kwa wingi kuliko Corona.

Kwa sababu hiyo ndiyo maana viongozi wetu na watalaamu wa afya wanazidi kutuhimiza kuchukua tahadhari binafsi katika kujikinga na maambukizo ya virusi hivyo ambavyo havina chanjo wala dawa za kimagharibi.
 
Meko kashikwa Corodani hapo hata kuwahudumia m.alaya wake kama wewe hawezi.

Aseme ukweli Corona ipo na imemkalia pabaya. Baba zima halioni hata aibu kusema uongo barabarani. Jinga sana!
Dada vp mbona umekazia habari Malaya wake au mzee baba amekutumia na kukupiga chini nini?
 
Unauwakika madereva hawapimwi yani vyeti ni ghushi
Tanzania bana.....korona hakuna bado tunaogopa kupimwa...tunagawa vyeti kwa madereva wetu bila hata kuwapima afu tunataka wakenya watukubalie? Nchi ya ajabu sana hii.
 
Maabara ya taifa ilifungwa na wataalam waandamizi kusimamishwa kazi kwa tuhuma za matokeo mengi ya vipimo vya corona kuwa positive! Hivyo, haata kama madereva wa malori wanapimwa kweli, wataalam wa maabara wanajua kuwa mamlaka hazitaki pisitive results! Kusema kweli kwa sehemu kubwa kampeni inayoendelea sasa nchini siyo ya kudhibiti corona bali kuaminisha umma kuwa corona imeisha! Ndani ya nchi yetu kwenyewe kuna raia wamejipa hiyo kazi ya kutangaza kuwa corona imeisha na watu wanaoendelea kuchukua tahadhari wanakejeliwa!
 
Un
Unauwakika madereva hawapimwi yani vyeti ni ghushi
Unataka uhakika gani sasa mkuu? Huo ndo ukweli na kenya wameshtukia huo mchezo...kama sio kweli kwanini hamtaki maderva wenu wasipimwe? Mnaogopa nini? Kubalini kila nchi ipime mpakani mwake afu muache usanii!
 
False impact imeonekana na vifo vili ongezeka lakini sasa Sweden wenyewe wanasema Bara kubalance kwa kufuata preventive measures ila sio kubase na lockdown tu.

Kwani wapi umeskia wamebase na lockdown tu, mataifa yote yanafanya balance ya kila namna, hamna hata moja iliyojiachia na kujichokea kama Tanzania.
 
Huu mgogoro sasa ni zaidi ya Corono bali ni vita ya kibiashara, hata Rusumo kule Rwanda lengo lake lilikuwa malori yao yaje mpaka Dar kuchukua mzigo alafu Tanzania yasiingie kwa kisingizio cha Corona. Hawa majirani zetu licha ya kwamba inabidi tuishi nao kwa akili bali pia tuishi nao kibabe, wanatuchukulia poa sana.
 
mlole kuna watu hawajui kama kuna kitu kinaitwa corona
Tz ni baba lao, Magufuri baba lao, wachache wenye mapenzi na Nchi yetu tunakuelewa, kwa huku kigoma hatujui kama hiyo kitu inayoitwa corona ipo, shughuli hapa town zinaendelea kama kawaida na barakoa hapa nilipo cjavaa aise, Mungu ibariki Tanzania [emoji1241] pia Mubariki Magufuri na watanzania wote hawa wale wasio weza kufikiri wanao fikiriwa na mabeberu wabariki pia
 
Tatizo ni makubaliano, kama waliona hawatuamini wangekataa toka awali! Kiuhalisia Kenya walizoea kutuburuza but this time wamekutana na kichwa ngumu.

Kama hawatuamini wasingesaini yale makubaliano na kupendekeza njia wanayoamini. Simply hii ni vita ya kiuchumi na kama kawaida yetu tupo against nchi yetu tukifikiri tunaipinga CCM na serikali yake.

Kama wanataka kubadili terms za makubaliano zipo taratibu ambazo waliziweka wazi wenyewe. Hii ni janja janja tu.
Hapana Mkuu, hujaelewa. Walituamini ndio maana walisaini, na sasa ni sisi tumeanza kwenda kinyume cha makubaliano kwa kutao vyeti feki. Najua sio serikali inafanya hivyo bali watu wachache wanaotumia huo mwanya wa kutoa vyeti kutengeneza pesa - wanaiona kama fursa. Tatizo ni kwamba Kenya wanaona serikali yetu haiko serious kuachia vitu kama hivyo vinafanyika watu wanaenda na vyeti feki.

Hivi unajua ilivyo rahisi kwa Tanzania kupata Yellow card kusafiri nje bila kuchanja - wakati nchi za wenzetu wako so serious na strict na hizi yellow card sie kwetu unapewa tu na hata inagongwa muhuli tarehe za nyuma ili usisumbuliwe ukienda nje. Badala ya kuchanjwa ili upewe card huku kwetu unauziwa kadi kirahisi tu bila hata risiti.

Jiulize, ikiwa Tanzania tunapewa yellow card kama njugu kwa kutoa pesa tu, nini kitashindikana kwa vyeti vya corona?

Sasa ndivyo imekuwa na vyeti vya Corona, na Kenya wakaja juu. Tutawalaumu?

Leo hii naweza kuandika barua kwenye balozi kuwa Watanzania wanatoa yellow cards fake. Wakiwajia juu utalalamika?
 
Kwenu huko mumeweka usiri hata kumzidi Kim wa Korea, hivyo ngumu kumeza chochote mnachokisema, maana hata Madagascar kule mlifuata kile kikombe chao, wao wanaathirika na namba zinazidi kupandisha.
Njoo bongo mzee baba utafurahi watu wapo free wanapiga kazi ila barakoa muhimu, nyie jifungieni na hamna chakula mtakufa na njaa majumbani
 
Dada vp mbona umekazia habari Malaya wake au mzee baba amekutumia na kukupiga chini nini?
Mume wenu kashikwa kwenye kijamb.io, wakenya sio wajinga wakuburuzwa na chizi.

Sasa kama Corona hamna mnaogopa nini madereva kupimwa?!

Maji mtaita mmaa!
 
Hapana Mkuu, hujaelewa. Walituamini ndio maana walisaini, na sasa ni sisi tumeanza kwenda kinyume cha makubaliano kwa kutao vyeti feki. Najua sio serikali inafanya hivyo bali watu wachache wanaotumia huo mwanya wa kutoa vyeti kutengeneza pesa - wanaiona kama fursa. Tatizo ni kwamba Kenya wanaona serikali yetu haiko serious kuachia vitu kama hivyo vinafanyika watu wanaenda na vyeti feki.

Hivi unajua ilivyo rahisi kwa Tanzania kupata Yellow card kusafiri nje bila kuchanja - wakati nchi za wenzetu wako so serious na strict na hizi yellow card sie kwetu unapewa tu na hata inagongwa muhuli tarehe za nyuma ili usisumbuliwe ukienda nje. Badala ya kuchanjwa ili upewe card huku kwetu unauziwa kadi kirahisi tu bila hata risiti.

Jiulize, ikiwa Tanzania tunapewa yellow card kama njugu kwa kutoa pesa tu, nini kitashindikana kwa vyeti vya corona?

Sasa ndivyo imekuwa na vyeti vya Corona, na Kenya wakaja juu. Tutawalaumu?

Leo hii naweza kuandika barua kwenye balozi kuwa Watanzania wanatoa yellow cards fake. Wakiwajia juu utalalamika?
Vyeti feki mkuu? Anyway whatever reasons ambazo wao wanaona haziko sawa, walishirikisha wenzao rasmi? Hivi ingekuwa sisi tuamue kufanya hayo hayo si wangelalamika na pengine watu humu wangejua na blah blah zile zile za diplomacy n.k?

Mpaka sasa Kenya wamevunja makubaliano na hawakufata utaratibu kabla ya kujianzishia utaratibu mpya. Wenzetu daima wanajiona wana akili kuliko sisi, sasa this time wamekutana na jiwe [emoji3]
 
Mume wenu kashikwa kwenye kijamb.io, wakenya sio wajinga wakuburuzwa na chizi.

Sasa kama Corona hamna mnaogopa nini madereva kupimwa?!

Maji mtaita mmaa!
Dada usiamishie humu stress zako za kuachwa, hata wewe ulikuwa Malaya tu maana huyo unayemgombania teyari ana mke wake.

Kubali matokeo ushatumika na kupigwa chini.
 
Kipimo cha Corona kinauma, huwezi kukubali kuchokolewa chokolewa hovyo.
huko Tanzania mnaishi kiajabu sana hujui hata hili kwa sababu hampimwi
Unachekesha sana bro. Eti kinauma.
Man huko duniani kote wanaopima ni vyuma au?
Ni sababu ya kitoto kabisa kuwahi kusikia.
Hauchokonolewi hovyo. Wanachukua fluids?
Kama hutaki usipime. Simple as that.
 
Mume wenu kashikwa kwenye kijamb.io, wakenya sio wajinga wakuburuzwa na chizi.

Sasa kama Corona hamna mnaogopa nini madereva kupimwa?!

Maji mtaita mmaa!
Yaani uchokonolewa pua leo then kesho ukifika Kenya uchokomolewe tena? Nyie mpo nyuma ya key board wenzenu madreva wapo ground huko acheni kupiga siasa kila kitu.
 
Unachekesha sana bro. Eti kinauma.
Man huko duniani kote wanaopima ni vyuma au?
Ni sababu ya kitoto kabisa kuwahi kusikia.
Hauchokonolewi hovyo. Wanachukua fluids?
Kama hutaki usipime. Simple as that.
Kuna dereva mmoja wa Tz alizimia huko Kenya kutokana na hivyo vipimo.
 
Tulikubaliana kwamba tukipima na kugundua Mtanzania ana Corona, hatumtangazi, tunampokeza kwa mamlaka yenu kimya kimya ili muendelee kuficha, maana shida yenu kubwa ilikua hamtaki kuumbuka.
Suala la kupima lipo pale pale lazima tuwapime, hivyo vyeti vya kufoji hapo kwenu kariokoo vitatusababishia maafa huku, huu sio muda wa kucheka na nyie watu, huko kwenu mumezembea na kujichokea.
Mngesema hayo siku ile ....mlisaini wenyewe makubaliano na mapicha juu mkitabasamu ....sasa mnalialia nini .... tunajua shida yenu na dawa ni kukaa kimitego na nyie ...
 
Back
Top Bottom