Haiku
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 2,915
- 2,050
Ok, nimekuelewa. lakini wakati ule vipimo vyetu si vilikuwa na hitilafu, sasa hauoni kama bado tunajikanganya. All in all, kama majirani wanania mbaya acha tupambane tu.Kama watu wana nia mbaya hata kama wakikubali kupimwa wataanbiwa wako postive
Kumbuka nyuma kabla hapohapo namanga, kuna dereva alipima kenya akaambiwa ana corona, akarudi TZ akapima hana corona,
Pia kuna mkenye alipima busia kenya akaonekana ana corona akarudiswa ili akae quarantine akagoma, akataka apimwe upya, walipo mpima hakuwa na ugonjwa, wakaridia kwenye mashine nyingine akawa negative, sasa hao wakenya wanataka waaminike vipi?
Wao wameamua nasi tuanaamua basi.