mwanaume akuonee aibu,mtoto wakike afanyeje!!!Meko kashikwa Corodani hapo hata kuwahudumia m.alaya wake kama wewe hawezi.
Aseme ukweli Corona ipo na imemkalia pabaya. Baba zima halioni hata aibu kusema uongo barabarani. Jinga sana!
Good point. Kama walikona wanapata vyeti fake lazima wangetatua hili suala kidiplomasia. Lazima walitumia wapelelezi wao kujihakikisha kuna vyeti fake - mtu kujifanya ni dereva wa Tanzania nk. Lakini you have a good point. KUna namna za kistaarabu za kutatua changamoto kama hizi sio kuamua kufunga kutokana na emotions. Ila najua ni kweli Tanzania wanatoa vyeti fakeVyeti feki mkuu? Anyway whatever reasons ambazo wao wanaona haziko sawa, walishirikisha wenzao rasmi? Hivi ingekuwa sisi tuamue kufanya hayo hayo si wangelalamika na pengine watu humu wangejua na blah blah zile zile za diplomacy n.k?
Mpaka sasa Kenya wamevunja makubaliano na hawakufata utaratibu kabla ya kujianzishia utaratibu mpya. Wenzetu daima wanajiona wana akili kuliko sisi, sasa this time wamekutana na jiwe [emoji3]
Huyo mmoja awakilishi madereva wote. Hawakilishi watanzania wote.Kuna dereva mmoja wa Tz alizimia huko Kenya kutokana na hivyo vipimo.
MPAKA wa Namanga upande wa Tanzania umesitisha shughuli zote za kibiashara na nchi jirani ya Kenya kwa muda kutokana na nchi hiyo kutoamini vyeti vya ugonjwa wa Covid -19 unaosababishwa na virusi vya corona vya madereva wa malori wa Tanzania vinavyoonyesha kuwa hawajaambukizwa.
Mkuu wa Wilaya ya Longido, Frank Mwaisumbe, ameiambia Nipashe jana kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya upande wa Kenya kukiuka makubaliano ya pande hizo mbili, waliyotiliana saini Mei, mwaka huu kwa kuzuia madereva wa Tanzania, kukataa vyeti ili wawaruhusu kuingia Kenya.
“Nadhani wenzetu wana ajenda ya siri kutuhujumu kiuchumi, tumeshakubaliana dereva anapopimwa upande wa Tanzania aruhusiwe upande wa Kenya kwa cheti, sasa wamekiuka makubaliano, wakifika upande ule wanataka wawapime tena sijui wana maana ipi nashindwa kuwaelewa kabisa, tumeamua kuchukua hatua na haturudi nyuma,” alisema.
Katika makubaliano hayo waliamua katika lori itaruhusiwa dereva na wasaidizi wawili kuingia katika nchi husika wote wakiwa wamepimwa kama wana maambukizo ya corona.
Hata hivyo, alisema upande wa Kenya wamebadilika juzi (Jumatatu) kwa kuzuia na kutaka kuwapima tena.
“Pamoja na juhudi za mimi na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, kuwasiliana na viongozi wenzetu wa Kenya, lakini zimegonga mwamba na ndipo tukaamua kuzuia vyeti vyote na magari ya mizigo kutoka Kenya pamoja bidhaa zote zinazoingia kutoka nchini humo hadi hapo tutakapokaa tena na kufikia muafaka maana sote tunategemeana, Kenya wanatuhitaji kama soko na sisi wanatuhitaji pia ili kuuza bidhaa,” alisema Mwaisumbe.
Alisema mwezi Mei makubaliano ya kuruhusu kuaminiana pande mbili yalikaliwa kikao na mawaziri wa mambo ya nje za nchi, makatibu wakuu, wataalamu na viongozi wengine wa mikoa na wilaya wa kutoka nchi mbili katika mpaka wa Namanga, kufuatia mazungumzo ya Rais John Magufuli na Rais Uhuru Kenyata ambao waliwaagiza viongozi wanaohusika kukaa na kufanya vikao na makubaliano, huku wakichukua tahadhari za ugonjwa huo na kuona namna ya kuendelea na biashara kwa nchi hizo.
Alisema kama hali ya kutoaminiana itaendelea, itawalazimu kutoa uamuzi wa kuigeuza Namanga kuwa bandari kavu na majirani Wakenya watashusha mizigo au bidhaa upande wake na Tanzania kuichukua na pia hata Tanzania itapeleka wa Tanzania ili Kenya waifuate.
“Nchi yetu ni huru inayojitegemea haihitaji kubembeleza nchi nyingine kufanya biashara kwa sababu sisi tunategemeana, haiwezekani mambo ambayo yameagizwa na marais viongozi wa chini hawatekelezi…linaashiria dharau na ajenda ambayo wanadhani ni siri iliyofichika kumbe sisi tunaifahamu, hatutaweza kuivumilia hata kidogo,” alisema.
Alisema, nia ya Rais Magufuli ni kuwasaidia watu wa hali ya chini kwa kuwa uamuzi huo unapofanyika wanao umia ni watu wa chini.
“Nataka nikuhakikishie ndugu kupima kipimo cha Covid-19 sio lelemama kinaumiza sana, sasa haiwezekani siku mbili mtu amechokonolewa pua, halafu anatoka upande wa Tanzania anaenda upande wa Kenya anafanyiwa kitu kile kile, sasa hali hii kwa kweli sio sahihi, tunataka hiyo agenda yao ya siri ijitokeze hadharani tushughulike nayo kuliko kutumia ugonjwa wa Covid-19, sisi hatutakuwa tayari,” alisema Mwaisumbe.
Mie nimetoa mfano kuhusiana na malalamiko ya maumivu kwa hivyo vipomo vya covid19.Huyo mmoja awakilishi madereva wote. Hawakilishi watanzania wote.
Kuna tofauti kubwa sana.
Pia kila mtu ana torelance factor ya tofauti.
Mfumo wetu na kenya ni tofaut wanatumia collective decision making and responsibilities hakuna cha maamuz yametoka juu.Inawezekana mwakilishi alikubali alivyopeleka wakalichakata wakaona tz tumeipoliticize corona ni malaghai.Tukiacha ushabiki pembeni tunaweza kukubaliana na maamuzi yao kwamba hatuko sereous kwenye corona tumeacha wananchi wapambane na hali zao kinachoumiza zaid ni ulaghai wa kitoto kwamba corona imeisha mpaka watu hawajali tena maisha yanaendelea km kawaida mkuu wa nchi ameshindwa kuonesha mfano kuchukua tahadhar huku shughur zikiendelea.Tunaonekana vituko mbele ya wenzetu kana kwamba sayansi ya afya haipo kabisa.Mwanasheria ni waziri wa afya lohSasa kwa nini Kenya walikubali in the first place, wangeonyesha msimamo kuwa haawaamini hizo certificate za vipimo kutoka Tz, sio wakubali halafu wabadilike tena.
hii ni njia nzuri zaidiNapendekeza wawe na joint centre ya kupima pale mpakani (Madaktari wa Kenya na wa TZ)
Maana waTZ kwa short cut hatujambo sana hasa kwa kauli mbiu kuwa CORONA siyo tishio tena cheti waweza pata popote tuu.
sawa mkuu nimekupata .kunashida mahala.Tanzania tunafanya mambo kiajabu sana, na hii yote inasababishwa na kufuata mawazo ya mtu mmoja, haiwezekani mseme vipimo vyenu vilikuwa vibovu baada ya kuvichunguza, halafu baada ya muda mnaanza kulazimisha idadi ya wagonjwa wa Corona imepungua, mtu mwenye akili atajiuliza imepungua kwa vipimo gani mlivyowapimia?
Hao wakenya ni haki yao kugoma, kwasababu kwanza tulishajifunga wenyewe kwa kukiri vipimo vyetu vilikuwa vibovu, sasa kwanini waamini hivyo vyeti vinavyopelekwa na madereva wetu? waacheni watumie vipimo vyao kuwapima wajiridhishe.
Halafu kwa akili za viongozi wetu watakurupuka nao kuwazuia wakenya, sijui watawazuia kwasababu gani wakati wakenya hawakuwahi kukiri kama vipimo vyao ni vibovu hivyo tusiwaamini madereva wao.
Mimi ni CCM damu tena nilimpigia debe sana huyo Meko.mwanaume akuonee aibu,mtoto wakike afanyeje!!!
aikaeli anakuonea aibu na bado anakufanya vibaya nje ndani.
Hamna tabu , ila maana ya kupunguza si ndio kuendelea kuishi kwa tahadhari au ? Kuendelea kujifungia wakati kila siku unatangaza wagonjwa wapya nao ni matatizo ndio manaa nimejua labda anasubiri ugonjwa uishe kitu ambacho nimemuambia haiwezekani kirahisi zaidi ya kuendelea kuishi nao.Samahan najua umemjibu mtu mwingine. But i would like to say. Hiyo ni pathetic excuse.
Is not about ugonjwa kuisha? Ni kuupunguza maambuukizi.
Kwao maambukizi ni makubwa..so.logicaly lazima wa react. Sishangai.
Kumbe uko na akili hivo lakini sijui ulikua unaandika nini huko juu, mtazamo ulioandika kwenye thread yako ndio Hali halisi sasa .Ahhaa Mkuu usinisingizie. Kuna tofauti ya kusema Corona imeisha, na kusema Corona haijaisha lakini tuendelee na maisha kwa kuchukua tahadhari. Kwanza nilishaandika thread juu ya hili. Ngoja niitafute nita paste hapa chini
Mtazamo mpya wa dunia kuhusu Corona ni kuwa dunia imefikia breaking point; vizuizi vitaondolewa, watakaokufa watakufa, watakaopona watapona
Jibu hoja acha matusi. Corona imeisha au ipo?Dada usiamishie humu stress zako za kuachwa, hata wewe ulikuwa Malaya tu maana huyo unayemgombania teyari ana mke wake.
Kubali matokeo ushatumika na kupigwa chini.
Huwezi kupimwa mara kwa mara ni lazima upewe muda ndio maana huku tunapimwa kila baada ya siku 15 kwa mwezi mzima baada ya hapo you're safe.Unachekesha sana bro. Eti kinauma.
Man huko duniani kote wanaopima ni vyuma au?
Ni sababu ya kitoto kabisa kuwahi kusikia.
Hauchokonolewi hovyo. Wanachukua fluids?
Kama hutaki usipime. Simple as that.
Huyu Kivuruge wetu ndiyo mwenye makosa. Kila anapogusa lazima avuruge. Amezoea kutumia mabavu ndiyo maana hata mikutano anakwepa kwa sababu kwake vitisho na nguvu ndiyo kuendesha nchi. Tanzania ina watu wengi sana wenye maambukizo ya virus wa korona na wamefariki watu wengi mno kulinganisha na Kenya . Kenya hata watu mia moja waliofariki hawajafikisha lakini sisi tunakaribia elfu mbili. Huu unyama wa kijinga ndiyo Kivuruge anataka kuwapelekea Kenya. Ana bahati sana Kenyata naye ni mtu msataarabu sana la sivyo uhusiano ungekuwa umeshakuwa mbaya sana.Tunawekeana vikwazo vya kijinga na vinchi vyenyewe maskini tu.
Hicho chakula kinasaidiaje LDC economy?This is bitter truth my friend, mnafata chakula TZ sasa endeleeni muone. kwani mwanzoni si ni UHURU ndio aliomba kwa POMBE mipaka ifunguliwe?
A rational person has always 2nd thoughts. Vipimo vyetu vya Covid-19 tumesema ni vibovu, halafu ugonjwa umeyeyushwa kwa maombi, halafu tunaendelea kuhimiza watu waendelee kujikinga, na taarifa za hali ya maambukizi hazitolewi. Kwa haya yote nani atatuelewa?Sasa kwa nini Kenya walikubali in the first place, wangeonyesha msimamo kuwa haawaamini hizo certificate za vipimo kutoka Tz, sio wakubali halafu wabadilike tena.