Mpaka wa Namanga wafungwa kwa muda baada ya Kenya kuwazuia madereva malori kutoka Tanzania kwa kutokuamini vipimo vyao vya #Corona

JPM afunge mpaka tu na hawa Kunya land Hypocrites. Eti Asubuhi mpaka jioni ruhusa kwenda kuzurura, ikifika 6pm curfew, aliewaroga hawa ni nani akawaambia kuwa eti ikifika 6pm ndio Covid19 anaingia kufanya kazi? Mchana hakuna covid19? sasa wana active case 1670 wanataka kuondoa curfew yao, waulizwe, nini kimewasukuma tena kufanya maamuzi hayo wakati wana cases nyingi?

Kitu kingine, wamepanic baada ya Tanzania kuitangazia dunia kuwa Watalii wanaweza kuja rasmi. Majirani wamona njia ya kutuchafua ni kudai madereva wetu wana corona! Wameona kuwa wamepigwa bao mapema na kuwa na hashuo la kujinadi kuwa linawagonjwa ili serikali ipate pesa (izipige panga) na watu kuteseka. Sasa wameshtuka kuwa kuna hatari ya kuachwa nyuma kwenye sekta ya utalii.
 
Imagine kama Tz issue ya watalii kuanza kumiminika inabumba itashindwa kubumba issue ya koona??
Kama hapa tz taarifa ya koona tunabumba tutasema ukweli nchi jirani?

Kama kipimo hatukiamini tutatoa Taarifa za kweli wakati hatuamini?

Wako wapi wapiga mapambio kuwa tatizo la mipakani limekwisha?
 

hamna unachojua kausha tu.watalii gani wamebumbwa???unadhani ni rahisi kama ulivyobumba majibu ya mtihani na ukatoboa???

nyinyi ndio wale wanasesere wanaoimba corona inatumaliza,wakiulizwa hali zao binfsi wanasem wako safi!!!sasa sijui waataka nani awe anaumwa!!.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Alafu kuna wajinga na marofahapa Tanzania eti wanasema kenya wako serious na covid,
Wamekula pesa za wazungu sasa wanalazimisha watu wawe wagonjwa,
Kuna wa Tz wanashabikia urofa tu bila kujua, sasa wenyeji wamechoka sijui wansemaje sasa.
They fake to receive Mzungu grants
 
Kenya haiwezi kuamini majibu ya vipimo vinavyofanya Tanzania hata kama vimefanywa kwa ueledi na kwa kuzingatia matakwa yote ya WHO kwa sababu za Kihistoria. Kwamba wao wameendelea katika nyanja zote za Maisha( a more developed country compared to a much undeveloped country Tanzania. Is like to say " Kenya don't trust testing abilities of Tanzania). Maabara ya Kisasa kabisa imefunguliwa Mabibo. Lakini Kenya hawezi kuamini hivyo vipimo. Kwa sasa Suala la Utalii nalo ni changamoto nyingine. Urafiki wa mashaka wa nchi hizi mbili unajidhihirisha tena.
 
HUMU KUMEJAA COMMENTS ZA KIJINGA SANA YANI UTADHANI WATU SIO WATANZANIA. MIJITU INAONA NCHI INAHUJUMIWA KIUCHUMI INAANDIKA UJINGA TU
wengine hatufumbii macho ujinga kwa kivuli cha uzalendo...bado haitufanyi kutokuwa watz.
 

Yaani arguments zingine hapa huwa zinanishangaza sana. Logic huwa inabakia mlangoni kabisa.
Basically argument kuu ni: Tanzania = nchi huru na ikifanya maamuzi yake haimbezi mtu yeyote, na maamuzi yake yanafaa yaheshimiwe.
Kenya ni nchi "huru"?, ila inafanya maamuzi yake ili kumpendeza beberu + inafanya maamuzi kwa sababu ya kuibeza Tanzania na kuipiga vita kiuchumi. Maamuzi yao tuyapuuze. 🤔
 
Kuna mtu aliwahi kupendekeza . Ili hili jambo liende sawa . Madkatari wetu wawepo mpakani.

Wanaoingia Kenya waanze kupimwa mpaka wa Tanzania. The baadae mpaka mpaka wa Kenya wapimwe tena.
Kuwe na some sort of check and re-check system.
Hilo sio solution.
Majibu ya vipimo hayatoki papo kwa papo. Ukiwa positive utarudi ulikotoka na mzigo wako. Hasara kwa mwenyemali.
Kuepuka usumbufu lazima wapimwe kabla ya kuanza safari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya wako sahihi tena sana.Sisi hatuaminiki bora wawakatae tu.
By the way ,'Breaking news...' Outgoing Burundi President Nkurenziza has pass on...isije ikawa nae aliambukizwa na corona, manake mkewe na bodyguards wali kuwa Aghakan Hospital Kenya kutibiwa maradhi ya Corona!! Tuombe Mungu, na tuendelee kujichunga dhidi ya CORONA!
 
Wakenya wanafki, madereva wa Tanzania wakitoa elfu mbili ya Kenya wanakuandikia huna corona unapita kama usipotoa unaandikiwa una corona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…