JPM afunge mpaka tu na hawa Kunya land Hypocrites. Eti Asubuhi mpaka jioni ruhusa kwenda kuzurura, ikifika 6pm curfew, aliewaroga hawa ni nani akawaambia kuwa eti ikifika 6pm ndio Covid19 anaingia kufanya kazi? Mchana hakuna covid19? sasa wana active case 1670 wanataka kuondoa curfew yao, waulizwe, nini kimewasukuma tena kufanya maamuzi hayo wakati wana cases nyingi?
Kitu kingine, wamepanic baada ya Tanzania kuitangazia dunia kuwa Watalii wanaweza kuja rasmi. Majirani wamona njia ya kutuchafua ni kudai madereva wetu wana corona! Wameona kuwa wamepigwa bao mapema na kuwa na hashuo la kujinadi kuwa linawagonjwa ili serikali ipate pesa (izipige panga) na watu kuteseka. Sasa wameshtuka kuwa kuna hatari ya kuachwa nyuma kwenye sekta ya utalii.