Mpaka wa Namanga wafungwa kwa muda baada ya Kenya kuwazuia madereva malori kutoka Tanzania kwa kutokuamini vipimo vyao vya #Corona

Huo moto mmeuzima kwa kutotangaza data za maambukizi au.

Waulize malekani wanaoita raia wake wakati ugonjwa kwao ndo unazidi kuuwa na maabukizi zaidi kuliko hao raia wanakotoka.
 
Tatizo lipo Tanzania! Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu. Ukute madereva wote kutoka Tanzania wanapewa tu vyeti hata Corona hawapimwi tena kwa sababu Tanzania inaamini kuwa Corona ilishaisha!

Uko sahihi kabisa brother!
Nina hakika kabisa Hawa Madereva wa Tanzania hawapimwi Covid-19! Kuna ubabaishaji mwingi na wa kihuni na Kenyans wako smart kichwani you can't fool them like Wadanganyika.

SHIDA iko hivi: Vipimo vya Madreva wa Tanzania haviko transparency in the sense that Serikali haiwapimi na kutoa TAKWIMU(DATA). Kumbuka Kuna malori(trucks) karibia 300 kwa wiki yanayo cross borderline into Kenya. Hii ni wastani wa malori 50 kwa siku na Kama kila truck lina watu 3(Driver-1,Utingo-2) Ni sawa na watu 150 kwa siku wanatakiwa wawe wamepima Covid-19 na kwa wiki takribani watu 1000!
Kinachotakiwa ni kuwa,hii idadi ya Drivers na Wasaidizi wao 1000 itangazwe kuwa wamepima, Wangapi Wana maambukizi au hawana.
Kama wanapima Serikali inaona ugumu gani kuweka hizo data hadharani Kama wanavofanya wenzetu Kenya? Kila baada ya madaa 24 wanatoa data kuwa tumepima watu 2000, Kati yao 100 Wana maambukizi na 1900 hawana. Na hii hesabu Ina reflect kwenye mtandao was WHO. Tanzania mnakwama wapi?
Kenya siyo wajinga hawawezi kuwa wanapima na kuonekana wao Wana Maambukizi lakini Tanzania Kimya . Kama mnapima 2000 kwa siku na wote hawana just say it! Mnaogopa Nini?
Kenya kila siku Maambukizi yakaongezeka kana kwamba wao ndo chanzo cha Korona kumbe Tanzania ndio wabebaji wa Covid-19 kwenda kwa Majirani zetu.
Badilikeni acheni Usanii msifikiri nchi zote ni sawa na Tanzania!
 
Nyie mmechukulia mapambano dhidi ya Corona kienyeji sana, mnawaza pesa zaidi ya uhai wa watu wenu, sasa mmekutana na wanaojali uhai wa watu wao badala ya pesa bado mnapeleka mawazo yenu ya pesa kwa wasiohusika, mnawajibu kwa kuwaza pesa.

Ngoja watanzania wapukutike halafu tuone huo uchumi wenu mnaouimba kila siku utajengwa na nani!.
Wabongo wengi wapo shwari mkuu acha uongo
 
Safi sana. Nilikua napata hasira nikijaribu kuamini eti Kenya itaruhusu Watanzania waingie ingie kisa wana vyeti, na walivyo makajanja watafoji vyeti kariokoo na kuingia na corona.

Nchi inayothamini uhai na afya ya watu wake lazima iwe makini, hata kama italazimu kufungiana mipaka kabisa. Miaka ya 1977 EAC ilivunjwa na kutupwa kule, mipaka ikafungwa na kila mtu akaishi kwake, na wala hakuna aliyekufa.
Bora tufikie huko tu, watanganyika wanatuletea mizaha sana
 
Kenya haawaamini Tanzania kwa Sababu tz unasema Corona umeisha kwa maombi, hii haingii akilini kwa mtu yoyote
Inawezekana mimi ni mgeni tz lakini sijasikia hata kiongozi mmoja wa tz aliesema corona imeisha tz wengi wao wanasema imepungua na bado wanasisitiza watu wachukue tahadhari,
 
Uko sahihi kabisa brother!
Nina hakika kabisa Hawa Madereva wa Tanzania hawapimwi Covid-19! Kuna ubabaishaji mwingi na wa kihuni na Kenyans wako smart kichwani you can't fool them like Wadanganyika.

SHIDA iko hivi: Vipimo vya Madreva wa Tanzania haviko transparency in the sense that Serikali haiwapimi na kutoa TAKWIMU(DATA). Kumbuka Kuna malori(trucks) karibia 300 kwa wiki yanayo cross borderline into Kenya. Hii ni wastani wa malori 50 kwa siku na Kama kila truck lina watu 3(Driver-1,Utingo-2) Ni sawa na watu 150 kwa siku wanatakiwa wawe wamepima Covid-19 na kwa wiki takribani watu 1000!
Kinachotakiwa ni kuwa,hii idadi ya Drivers na Wasaidizi wao 1000 itangazwe kuwa wamepima, Wangapi Wana maambukizi au hawana.
Kama wanapima Serikali inaona ugumu gani kuweka hizo data hadharani Kama wanavofanya wenzetu Kenya? Kila baada ya madaa 24 wanatoa data kuwa tumepima watu 2000, Kati yao 100 Wana maambukizi na 1900 hawana. Na hii hesabu Ina reflect kwenye mtandao was WHO. Tanzania mnakwama wapi?
Kenya siyo wajinga hawawezi kuwa wanapima na kuonekana wao Wana Maambukizi lakini Tanzania Kimya . Kama mnapima 2000 kwa siku na wote hawana just say it! Mnaogopa Nini?
Kenya kila siku Maambukizi yakaongezeka kana kwamba wao ndo chanzo cha Korona kumbe Tanzania ndio wabebaji wa Covid-19 kwenda kwa Majirani zetu.
Badilikeni acheni Usanii msifikiri nchi zote ni sawa na Tanzania!
wacha tu pin mipaka atajulikana nani mweye mbwa ukanda huu.

wakenya wako smart na hawajui washike lipi kwenye corona zaid ya kupima watu!!!!

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana mimi ni mgeni tz lakini sijasikia hata kiongozi mmoja wa tz aliesema corona imeisha tz wengi wao wanasema imepungua na bado wanasisitiza watu wachukue tahadhari,
Waziri wa Afya kasema walibaki wagonjwa wanne, hapo Ni Kama haipo...
 
Hakuna Mwafrika asiyejua kujifukiza, watu tunajifukiza na kuendelea kupukutika tu, kirusi kikishaingia kwenye damu hata ujifukize kivipi hamna chochote kitakusaidia.
We subiri kirusi kikuingie alafu usijifukize uone!
 
Back
Top Bottom