Mpaka wa Namanga wafungwa kwa muda baada ya Kenya kuwazuia madereva malori kutoka Tanzania kwa kutokuamini vipimo vyao vya #Corona

MPAKA wa Namanga upande wa Tanzania umesitisha shughuli zote za kibiashara na nchi jirani ya Kenya kwa muda kutokana na nchi hiyo kutoamini vyeti vya ugonjwa wa Covid -19 unaosababishwa na virusi vya corona vya madereva wa malori wa Tanzania vinavyoonyesha kuwa hawajaambukizwa.

boda.jpg

Mkuu wa Wilaya ya Longido, Frank Mwaisumbe, ameiambia Nipashe jana kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya upande wa Kenya kukiuka makubaliano ya pande hizo mbili, waliyotiliana saini Mei, mwaka huu kwa kuzuia madereva wa Tanzania, kukataa vyeti ili wawaruhusu kuingia Kenya.

“Nadhani wenzetu wana ajenda ya siri kutuhujumu kiuchumi, tumeshakubaliana dereva anapopimwa upande wa Tanzania aruhusiwe upande wa Kenya kwa cheti, sasa wamekiuka makubaliano, wakifika upande ule wanataka wawapime tena sijui wana maana ipi nashindwa kuwaelewa kabisa, tumeamua kuchukua hatua na haturudi nyuma,” alisema.

Katika makubaliano hayo waliamua katika lori itaruhusiwa dereva na wasaidizi wawili kuingia katika nchi husika wote wakiwa wamepimwa kama wana maambukizo ya corona.
Hata hivyo, alisema upande wa Kenya wamebadilika juzi (Jumatatu) kwa kuzuia na kutaka kuwapima tena.

“Pamoja na juhudi za mimi na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, kuwasiliana na viongozi wenzetu wa Kenya, lakini zimegonga mwamba na ndipo tukaamua kuzuia vyeti vyote na magari ya mizigo kutoka Kenya pamoja bidhaa zote zinazoingia kutoka nchini humo hadi hapo tutakapokaa tena na kufikia muafaka maana sote tunategemeana, Kenya wanatuhitaji kama soko na sisi wanatuhitaji pia ili kuuza bidhaa,” alisema Mwaisumbe.

Alisema mwezi Mei makubaliano ya kuruhusu kuaminiana pande mbili yalikaliwa kikao na mawaziri wa mambo ya nje za nchi, makatibu wakuu, wataalamu na viongozi wengine wa mikoa na wilaya wa kutoka nchi mbili katika mpaka wa Namanga, kufuatia mazungumzo ya Rais John Magufuli na Rais Uhuru Kenyata ambao waliwaagiza viongozi wanaohusika kukaa na kufanya vikao na makubaliano, huku wakichukua tahadhari za ugonjwa huo na kuona namna ya kuendelea na biashara kwa nchi hizo.

Alisema kama hali ya kutoaminiana itaendelea, itawalazimu kutoa uamuzi wa kuigeuza Namanga kuwa bandari kavu na majirani Wakenya watashusha mizigo au bidhaa upande wake na Tanzania kuichukua na pia hata Tanzania itapeleka wa Tanzania ili Kenya waifuate.

“Nchi yetu ni huru inayojitegemea haihitaji kubembeleza nchi nyingine kufanya biashara kwa sababu sisi tunategemeana, haiwezekani mambo ambayo yameagizwa na marais viongozi wa chini hawatekelezi…linaashiria dharau na ajenda ambayo wanadhani ni siri iliyofichika kumbe sisi tunaifahamu, hatutaweza kuivumilia hata kidogo,” alisema.

Alisema, nia ya Rais Magufuli ni kuwasaidia watu wa hali ya chini kwa kuwa uamuzi huo unapofanyika wanao umia ni watu wa chini.

“Nataka nikuhakikishie ndugu kupima kipimo cha Covid-19 sio lelemama kinaumiza sana, sasa haiwezekani siku mbili mtu amechokonolewa pua, halafu anatoka upande wa Tanzania anaenda upande wa Kenya anafanyiwa kitu kile kile, sasa hali hii kwa kweli sio sahihi, tunataka hiyo agenda yao ya siri ijitokeze hadharani tushughulike nayo kuliko kutumia ugonjwa wa Covid-19, sisi hatutakuwa tayari,” alisema Mwaisumbe.
Niliposikia madereva wakitamba kuwa bipimo.vya huku.kwetu ni poa kulioo walivyokuwa wakifanyiwa Kenya niliona wanaitisha kutoaminika kwa vipimo byetu. Tumeona hata hiko nje wakisema kuchukuliwa sampuli kuna sisimua kiasi leo hiku kwetu iwe poa!
Ikiwa kabla ya makubaliano haya, Kenya walikuwa wakikuta asilimia kubwa ya sampuli zikiwa na waathirika ghafla tu kila anayepimwa yuko ok, kwa nini usiwe na wasiwasi.
Hii ya kwamba wana ajenda ya siri haitupi credit. Tunalalamika kama watoto wadogo au kama watu wenye gubhu! Tuachane nayo na tuwe mature.
 
Jibu hoja acha matusi. Corona imeisha au ipo?

Eti Kenya wanatuonea wivu, wanatumika na mabeberu!!! Pumbavu kabisa. Mlidhani Corona ni CHADEMA ya kuichezea.
Nachojua Tz shughuli zinaendelea kama kawaida watu wanaishi nayo corona, uwanja wa sababa uliandaliwa kwa ajiri ya wagonjwa wa corona ila imeonekana auhitajiki tena.
 
Safi sana. Nilikua napata hasira nikijaribu kuamini eti Kenya itaruhusu Watanzania waingie ingie kisa wana vyeti, na walivyo makajanja watafoji vyeti kariokoo na kuingia na corona.

Nchi inayothamini uhai na afya ya watu wake lazima iwe makini, hata kama italazimu kufungiana mipaka kabisa. Miaka ya 1977 EAC ilivunjwa na kutupwa kule, mipaka ikafungwa na kila mtu akaishi kwake, na wala hakuna aliyekufa.
MK254 at it again...Kwani madereva hawawezi ku -forge pale Kibera?!

Kwa
 
Kenya nawaelewa msimamo wao kwa Sababu msimamo wa Tanzania ni kuwa ugonjwa wa Corona umeisha kwa maombi, sijui wamebaki wagonjwa 4 tu.

Sasa kwa mtu anayetumia logic haiwezi kuamini huu ujinga, lazima awapime Tena.

Tuache uzalendo uchwara tusimame na logic na reason.
Anza wewe kupima halafu upeleke vipimo vyako huko Nyang'au land
 
Kuna watu wanashabikia eti wakiona barozi wa mareknaini ansema Tanzani kuna hali mbaya eti raia wao warudi kwao, sas unajiuliza huko kwao ndo corona imetia nanga ni sawa nyumba yako inaungua kisha unawaita watoto watoke kwa jirani ambae amezima huo moto.kwake waje kwenye nyumba inayoungua na inaonekana kuteketea sasa sijui hiyo ni akiri ya tope?
Kwakweli matope tena ya udongo mweusi
 
"Yaani dereva atoke na lori toka Darisalama mpaka Namanga harafu waseme ana Corona?"
 
MPAKA wa Namanga upande wa Tanzania umesitisha shughuli zote za kibiashara na nchi jirani ya Kenya kwa muda kutokana na nchi hiyo kutoamini vyeti vya ugonjwa wa Covid -19 unaosababishwa na virusi vya corona vya madereva wa malori wa Tanzania vinavyoonyesha kuwa hawajaambukizwa.

boda.jpg

Mkuu wa Wilaya ya Longido, Frank Mwaisumbe, ameiambia Nipashe jana kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya upande wa Kenya kukiuka makubaliano ya pande hizo mbili, waliyotiliana saini Mei, mwaka huu kwa kuzuia madereva wa Tanzania, kukataa vyeti ili wawaruhusu kuingia Kenya.

“Nadhani wenzetu wana ajenda ya siri kutuhujumu kiuchumi, tumeshakubaliana dereva anapopimwa upande wa Tanzania aruhusiwe upande wa Kenya kwa cheti, sasa wamekiuka makubaliano, wakifika upande ule wanataka wawapime tena sijui wana maana ipi nashindwa kuwaelewa kabisa, tumeamua kuchukua hatua na haturudi nyuma,” alisema.

Katika makubaliano hayo waliamua katika lori itaruhusiwa dereva na wasaidizi wawili kuingia katika nchi husika wote wakiwa wamepimwa kama wana maambukizo ya corona.
Hata hivyo, alisema upande wa Kenya wamebadilika juzi (Jumatatu) kwa kuzuia na kutaka kuwapima tena.

“Pamoja na juhudi za mimi na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, kuwasiliana na viongozi wenzetu wa Kenya, lakini zimegonga mwamba na ndipo tukaamua kuzuia vyeti vyote na magari ya mizigo kutoka Kenya pamoja bidhaa zote zinazoingia kutoka nchini humo hadi hapo tutakapokaa tena na kufikia muafaka maana sote tunategemeana, Kenya wanatuhitaji kama soko na sisi wanatuhitaji pia ili kuuza bidhaa,” alisema Mwaisumbe.

Alisema mwezi Mei makubaliano ya kuruhusu kuaminiana pande mbili yalikaliwa kikao na mawaziri wa mambo ya nje za nchi, makatibu wakuu, wataalamu na viongozi wengine wa mikoa na wilaya wa kutoka nchi mbili katika mpaka wa Namanga, kufuatia mazungumzo ya Rais John Magufuli na Rais Uhuru Kenyata ambao waliwaagiza viongozi wanaohusika kukaa na kufanya vikao na makubaliano, huku wakichukua tahadhari za ugonjwa huo na kuona namna ya kuendelea na biashara kwa nchi hizo.

Alisema kama hali ya kutoaminiana itaendelea, itawalazimu kutoa uamuzi wa kuigeuza Namanga kuwa bandari kavu na majirani Wakenya watashusha mizigo au bidhaa upande wake na Tanzania kuichukua na pia hata Tanzania itapeleka wa Tanzania ili Kenya waifuate.

“Nchi yetu ni huru inayojitegemea haihitaji kubembeleza nchi nyingine kufanya biashara kwa sababu sisi tunategemeana, haiwezekani mambo ambayo yameagizwa na marais viongozi wa chini hawatekelezi…linaashiria dharau na ajenda ambayo wanadhani ni siri iliyofichika kumbe sisi tunaifahamu, hatutaweza kuivumilia hata kidogo,” alisema.

Alisema, nia ya Rais Magufuli ni kuwasaidia watu wa hali ya chini kwa kuwa uamuzi huo unapofanyika wanao umia ni watu wa chini.

“Nataka nikuhakikishie ndugu kupima kipimo cha Covid-19 sio lelemama kinaumiza sana, sasa haiwezekani siku mbili mtu amechokonolewa pua, halafu anatoka upande wa Tanzania anaenda upande wa Kenya anafanyiwa kitu kile kile, sasa hali hii kwa kweli sio sahihi, tunataka hiyo agenda yao ya siri ijitokeze hadharani tushughulike nayo kuliko kutumia ugonjwa wa Covid-19, sisi hatutakuwa tayari,” alisema Mwaisumbe.
Nina wasiwasi wakaazi halisia wa kenya sii hao waliopo sasa hivi nakama wapo niwachache sana! Huwezi kuwa na jirani mwenye kisirani kama mchepuko wenye tamaa! Nashauri na viwanja vyetu vya ndege mamlaka husika punguzeni landing fees madege yatue hapa, maua, mbogamboga, samaki nk vinunuliwe hapapa hometown TZ na watalii waje direct na mpaka wa Tz na hawa jamaa udhibitiwe kinoma kuanzia kule ujaluoni mpaka bahari ya hindi dadadeki!
 
Sio upande wa Kenya hata sasa bado upande wa Rwanda madereva wa Tzn wanasumbuka na majuzi niliona kwenye tv dereva mtz anarudishwa kwa escort kisa kakautwa na corona na yeye anadai mbona haumwi na anaendesha lori bila shida yaani wanakaa hadi siku 20..kwa hiyo wabongo wawaruhusu wenye kupima wapime na waweke madaktari mipakani ili wafanye zoezi kwa pamoja
 
Bia yetu,ussr,kawe alumni,johnthebaptist,nikocheni juntion,muda na 7000 wengine njooni huku mjitetee
 
Heri mipaka yote tu ifungwe ili kila mtu atafute namna ya kushughulika na changamito zitakazojitokeza.

Rusumo border napo bado figisu kibao.

Ngoja tuone Mh atakuja na kauli gani maana anaweza kuibuka na maamuzi kama ya kwenye korosho msimu uliopita na EAC ikajifia hapo.
 
Kuna mtu aliwahi kupendekeza . Ili hili jambo liende sawa . Madkatari wetu wawepo mpakani.

Wanaoingia Kenya waanze kupimwa mpaka wa Tanzania. The baadae mpaka mpaka wa Kenya wapimwe tena.
Kuwe na some sort of check and re-check system.
umewahi kupima corona?
 
Safi sana. Nilikua napata hasira nikijaribu kuamini eti Kenya itaruhusu Watanzania waingie ingie kisa wana vyeti, na walivyo makajanja watafoji vyeti kariokoo na kuingia na corona.

Nchi inayothamini uhai na afya ya watu wake lazima iwe makini, hata kama italazimu kufungiana mipaka kabisa. Miaka ya 1977 EAC ilivunjwa na kutupwa kule, mipaka ikafungwa na kila mtu akaishi kwake, na wala hakuna aliyekufa.

Kenya Makanjanja sana ona hebu Tazama video hapo chini
 
Waziri wa Afya kasema walibaki wagonjwa wanne, hapo Ni Kama haipo...
Tatizo kubwa ni uelewa na mambo ya "Copy and Paste" kisa mzungu anafanya:
Mtu akipimwa na kuwa +ve, haimaanishi kuwa tayari ni mgonjwa wa covid. Asilimia 85 hadi 95% ya waliopimwa na kuwa +ve, hawaonyeshi dalili zozote za ugonjwa wa covid (asymptomatic) au mild symptoms na hupona baada ya siku 3-14. Ni kama silimia 5% tu ndiyo huwa severe cases ambazo kwa Tanzania ndiyo wanakuwa admitted for further management, hasa wenye magonjwa mengine kama kisukari au pressure n.k lakini wale wengine huwa wanaruhusiwa na kurudi nyumnbani. Na ndiyo hiyo idadi Mhe. Ummy nadhani anayoiongelea. Sasa unapofanya mass screening ili ujue kama wangapi wamekuwa infected, HAISAIDII CHOCHOTE, hasa kama ugonjwa tayari uko kwa jamii (community transmission). Ndiyo maana Tz tunafanya "targeted screening", na hata hao madereva, ni kwa sababu ya hayo makubaliano, otherwise, its wastage of tax payers money, na kuleta Public panic unnecessarily. Kama mass screening ingesaidia, tungeona deaths huko US zikipungua, lakini hakuna.
Cha msingi nchi zingeongeza juhudi kwenye elimu ya kujikinga badala ya kila siku kutoa takwimu za waliokufa na walioambukizwa, ambazo hazisaidii chochote. On the other side, hizo lockdown zimeathiri uchumi sana, ngoja majirani zetu waendelee hiyvo hivyo mpaka Oktoba au December, na baadaye tuone nani ameathirika zaidi kiuchumi.
 
Aisee mkuu

Asante sana kwa video kiboko sana, ukweli wote wa makanjanja wa Kenya umewekwa wazi duuh!

Kenya wanataka kutembelea nyota ya TZ ili wawafurahishe wafadhili then wongezewe loans za IMF na WB, mpaka sasa wameshapewe almost 3 Billion USD ndani ya kipindi hifi kifupi cha lockdown.

JPM safari hii hakuna kupokea simu ya Kamwana Uhuru K.

Kenya Makanjanja sana ona hebu Tazama video hapo chini
View attachment 1468871
 
HUMU KUMEJAA COMMENTS ZA KIJINGA SANA YANI UTADHANI WATU SIO WATANZANIA. MIJITU INAONA NCHI INAHUJUMIWA KIUCHUMI INAANDIKA UJINGA TU
 
MPAKA wa Namanga upande wa Tanzania umesitisha shughuli zote za kibiashara na nchi jirani ya Kenya kwa muda kutokana na nchi hiyo kutoamini vyeti vya ugonjwa wa Covid -19 unaosababishwa na virusi vya corona vya madereva wa malori wa Tanzania vinavyoonyesha kuwa hawajaambukizwa.

boda.jpg

Mkuu wa Wilaya ya Longido, Frank Mwaisumbe, ameiambia Nipashe jana kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya upande wa Kenya kukiuka makubaliano ya pande hizo mbili, waliyotiliana saini Mei, mwaka huu kwa kuzuia madereva wa Tanzania, kukataa vyeti ili wawaruhusu kuingia Kenya.

“Nadhani wenzetu wana ajenda ya siri kutuhujumu kiuchumi, tumeshakubaliana dereva anapopimwa upande wa Tanzania aruhusiwe upande wa Kenya kwa cheti, sasa wamekiuka makubaliano, wakifika upande ule wanataka wawapime tena sijui wana maana ipi nashindwa kuwaelewa kabisa, tumeamua kuchukua hatua na haturudi nyuma,” alisema.

Katika makubaliano hayo waliamua katika lori itaruhusiwa dereva na wasaidizi wawili kuingia katika nchi husika wote wakiwa wamepimwa kama wana maambukizo ya corona.
Hata hivyo, alisema upande wa Kenya wamebadilika juzi (Jumatatu) kwa kuzuia na kutaka kuwapima tena.

“Pamoja na juhudi za mimi na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, kuwasiliana na viongozi wenzetu wa Kenya, lakini zimegonga mwamba na ndipo tukaamua kuzuia vyeti vyote na magari ya mizigo kutoka Kenya pamoja bidhaa zote zinazoingia kutoka nchini humo hadi hapo tutakapokaa tena na kufikia muafaka maana sote tunategemeana, Kenya wanatuhitaji kama soko na sisi wanatuhitaji pia ili kuuza bidhaa,” alisema Mwaisumbe.

Alisema mwezi Mei makubaliano ya kuruhusu kuaminiana pande mbili yalikaliwa kikao na mawaziri wa mambo ya nje za nchi, makatibu wakuu, wataalamu na viongozi wengine wa mikoa na wilaya wa kutoka nchi mbili katika mpaka wa Namanga, kufuatia mazungumzo ya Rais John Magufuli na Rais Uhuru Kenyata ambao waliwaagiza viongozi wanaohusika kukaa na kufanya vikao na makubaliano, huku wakichukua tahadhari za ugonjwa huo na kuona namna ya kuendelea na biashara kwa nchi hizo.

Alisema kama hali ya kutoaminiana itaendelea, itawalazimu kutoa uamuzi wa kuigeuza Namanga kuwa bandari kavu na majirani Wakenya watashusha mizigo au bidhaa upande wake na Tanzania kuichukua na pia hata Tanzania itapeleka wa Tanzania ili Kenya waifuate.

“Nchi yetu ni huru inayojitegemea haihitaji kubembeleza nchi nyingine kufanya biashara kwa sababu sisi tunategemeana, haiwezekani mambo ambayo yameagizwa na marais viongozi wa chini hawatekelezi…linaashiria dharau na ajenda ambayo wanadhani ni siri iliyofichika kumbe sisi tunaifahamu, hatutaweza kuivumilia hata kidogo,” alisema.

Alisema, nia ya Rais Magufuli ni kuwasaidia watu wa hali ya chini kwa kuwa uamuzi huo unapofanyika wanao umia ni watu wa chini.

“Nataka nikuhakikishie ndugu kupima kipimo cha Covid-19 sio lelemama kinaumiza sana, sasa haiwezekani siku mbili mtu amechokonolewa pua, halafu anatoka upande wa Tanzania anaenda upande wa Kenya anafanyiwa kitu kile kile, sasa hali hii kwa kweli sio sahihi, tunataka hiyo agenda yao ya siri ijitokeze hadharani tushughulike nayo kuliko kutumia ugonjwa wa Covid-19, sisi hatutakuwa tayari,” alisema Mwaisumbe.
BANDARI KAVU NDIO SULUHOSHO SAHIHI KWA HAWA JIRANI ZETU.
WAJE WAISHIE MPAKANI TENA HATA WATALII WAO WAFAULISHWE KTK SHUTTLES ZA HAPA KWETU ZA KWAO ZIRUDI HUKO HUKO. GUIDES WAO WABAKI MPAKANI KAZI IMALIZIWE NA GUIDE'S WETU
 
Back
Top Bottom