Mpaka wasalimu amri; Hatutishwi tena!

Mkjj tunashukuru sana kwa kweli. Huu utanzania kila mmoja wetu anatakiwa kuwa nao ili siku moja Mungu akipenda tufaidi mali za nchi hii na isiwe kwa wachahce kama ilivyo sasa.

Kwa heshima yako mzee Mkjj naomba niongeze ambao nahisi umewaacha mkuu!

10. Edward Hosea- Takukuru ilipaswa kumake sure wezi wote wanarudisha kilicho chetu lakini mzee huyu ambaye Bunge lilisema aadhibiwe bado yuko pale anapiga porojo-hivi sisi pia tunaserikali kweli? Shame on us.
11. Jeetu Patel- I'm sure kuna mamilioni ya watz hawapo duniani kwa kukosa huduma ambazo zingetolewa na pesa alizoiba huyu mjinga
12. Mama Sofia Simba. Huyu mama mshahara tunamlipa kwa kodi zetu amepewa pesa ya kampeni UWT na mafisadi amekuwa chizi kabisa anatetea wezi wetu-This is really bad hivi watu kama hawa wanaendeleaje kuwa mawaziri kwani tumekosa watu kiasi hicho?

The list goes and on ila vita mbele jamani mpaka kieleweke.
 
Huyu bwana sio katumia influence yake kuathiri viwanda vyetu tu,hata hili linalotusumbua sasa hivi la kukodisha reli yetu kwa RITES wa India Andy Chande ndio alikuwa broker wao!! Lakini bado wakubwa wanamkumbatia!!
 
Inaonyesha waTz hamjui mlitendalo kama kushushua mtashushua mpaka mtachoka ,mtachezeshwa kwata kulia na kushoto na hakuna mabadiliko yeyote yale yatakayopatikana.

Hili linatokana na vyama vya upinzani kuogopa kuyavalia njuga masuala muhimu yahusuyo Katiba ya Nchi ,aidha tume ya Uchaguzi hivyo tuta na mtaendelea kila siku kusema hili na lile kumfichua huyu na yule inaonekana ni kama mnawaamsha waliolala na kuwafanya wazinduke na kutafuta njia nyingine .jiulizeni leo ni miaka mingapi mambo haya yamefichuliwa na ni muda gani yanapigwa danadana na mahakama na DPP ,je huku kupigwa danadana kutakwisha kwa siasa hizi anazoziendesha Sultani CCM si hasha hata Mwanakijiji anatumika katika kuwababaisha watu na wananchi kwa ujumla.
Ni lazima tutoke nje ya mstari huu uliopigwa wa kutodai mabadiliko ya Katiba na tume ya Uchaguzi leo bado miezi tu kuanza purukushani za uchaguzi nini kiandaliwe au kinaandaliwa na vyama vya upinzani kukabiliana na hila za Sultani CCM ,tujiulize hivi kusulubiana na mafisadi ndio njia itakayotukwamua ,maana Sultani CCM hutumia njia ingine kabisa ya kuyakwaa madaraka ya nchi hii ,Je njia hizo tunazielewa na kuzifanyia kazi ili kuziziba au tumefungwa kamba na kutulishwa nanga katika mafisadi na tupo tunahangaika nao hatujui hata hatma yao ,wakati hatima ya ushindi wa uchaguzi tunaijua ni kushindwa kwa hila kwa nini hatupiganii kuziondoa hila hizi tunabakia kwenye mstari wa mafisadi ,huku ni kuwekwa na jambo lingine ambalo linahusiana na utawala uliopo na si kwenye jambo ambalo litazaa matunda mazuri katika chaguzi zijazo ,tumewasikia wapinzani wakipiga mayowe kuhusiana na chaguzi ndogo ,Je wamefikia wapi ikiwa sasa tunahesabu miezi kuelekea uchaguzi Mkuu ? Amkeni na ondokaneni na kikao cha mafisadi hapo ni mgandisho tu hakuna natija nzuri kukabiliana na matokeo ya Uchaguzi.
 



Nafikiri wewe na GT ndiyo mmetumwa kuja kugandisha hoja na mawazo ya watu kwa maslahi ya mabwana zenu[mafisadi], ninyi ni watumwa tu.
 
In the abundance of water, The fool is thirsty

Granted simple catchphrases and clever sayings have their place in being shortcut tools to deliver the message, but there is such a thing as oversimplification and underpixelation.

The sea is an abundance of water, and yet the wisest man can be thirsty with all that water if no desalination tools are available.

Not everybody thirsting in an abundance of water is a fool.Sometimes the water needs to be treated and there are no means to do so by the simple man.

So our underdevelopment in a way has no direct relation to the water (resources) or being foolish (the people)

Right about now it is about leadership, Tanzania lacks leadership period.And even the prospect of voting the opposition in power is not that redeemingly restorative.
 
Last edited:
Mrisho akiwa pale PMO mkewe katangazwa kuwa mkuu wa Commission for AIDS which is under the PMO... PS anaweka mkewake... sasa imagine how it looks lakini... There has to be a conflict...

Any Chande is a snake... na matajiri wote Tanzania wako kwenye hiyo Freemasonry yao including some prominent members of the opposition... Msishangae wanaalikwa mpaka marekani kwakina bush huko... mnadhani wamarekani wanamda wakukaa na watu ambao 'siwao'. Wale watu wabaya.. They are the instrumentent of the global elite...wanatunyonya
 
Mbona Jambazi Fisadi Edward Lowassa amesahaulika? au toka Kadinali Pengo aombe watu wasimsulubu ndio ameshatakasika?
 
Geeque, hilo swali zuri... Lowassa inabidi tumuweke kwenye kundi hili kwa sababu naamini nguvu zake za ufisadi zilikuwa akiwa madarakani.. sijui huku uraiani ana nguvu gani. Tutakapochora lile jedwali jingine ningependa kuona Lowassa anafit vipi kwa sababu ili vitendo vya ufisadi vifanikiwe ni lazima kuwa na ndoa haramu kati ya wafanyabiashara na wanasiasa.
 
JK nae pia yumo mimi naombea sana atokeee bingwa wa mutharika wa TZ ili awakomeshe woote hawa....hata kama baada ya miaka10 ijayo wote peleka mahakamani....

Ipo karibu hiyo mkuu, na madhara yake yatakuwa ni makubwa zaidi afadhari wakisafishana wenyewe mapema maana akiingia chizi fresh watalia na kusaga meno
 
Mtawapanga na kuwapangua ila hafikishwi mtu mwisho hapa, kinachojiri kwenu kama hamkitambui ni kupanga timu za mpira za Uingereza na kushabikia ,wakati wao wanaupangaji wao.Na kila kukicha wanapokea na kuchota mamilioni. Naona mnaendelza kuvaa jezi zao tu.
 
Sasa kaka ulitaka watu wakae kimya tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…