Mpakwa Mafuta wa Bwana Akimbilia Zone X baada ya Kumbatio la Covenant kufeli na kufutwa rasmi. Kibarua kimeota nyasi

Mpakwa Mafuta wa Bwana Akimbilia Zone X baada ya Kumbatio la Covenant kufeli na kufutwa rasmi. Kibarua kimeota nyasi

Infiltrator

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2017
Posts
211
Reaction score
339
🕶️ UNDERGROUND INTEL DROP: MPB-09

Source: Silent Wharf
Clearance Level: BLACK VEIL

Operative mmoja wa daraja la katikati kwenye safu ya Green Circuit, anayetambuliwa ndani ya mfumo kama MPB-09 (wakati mwingine hujulikana kwa jina la kificho “The Anointed Courier”), ameripotiwa kuondoka kwenye grid ya nyumbani (Zone TZ-ALFA) kupitia njia ya kivuli (Shadow Path 17) kuelekea Zone X-RAY.

Duru za ndani zimethibitisha kuwa mission aliyokabidhiwa haijaidhinishwa na maslahi ya The Vault. Licha ya mwonekano wa kawaida, ushahidi unaonesha kuwa huu ni mchakato wa Self-Serving Maneuver, operesheni ya kujinufaisha isiyoshirikisha core team ya usalama wa taifa.

⚠️ FIELD STATUS:

Hakuna wachezaji waliopangwa katika uwanja wa tukio. Ujumbe anaojaribu kuwasilisha haujaidhinishwa na Council of Balance, na huenda akajikuta kwenye loop ya maamuzi ya kujirudia mwenyewe.

Kwa lugha rahisi: ngoma anayoenda kuipiga, haina wa kucheza naye. Atabaki kuwa mnenguaji peke yake hadi jua litue Zone X-RAY.

📡 SIGINT Broadcast to MPB-09 (Public Channel Echo):

“Jukwaa limeandaliwa, taa zimemulika, lakini waimbaji wote wameondoka kimyakimya. Densi yako haitakuwa shoo, itakuwa mazoezi ya upweke. Usiku ni mrefu, na sakafu haina huruma.”

🧿 PREDICTED OUTCOME:

80% chance ya maumivu ya kisiasa ya baadae.

60% risk ya kusafishwa kutoka inner ring ya Green Circuit.

95% chance ya kurejea na nyayo za kukataliwa.

END OF DROP
Decrypt Only if You Know the Rhythm.
 
time will tell the truth...
 
🕶️ UNDERGROUND INTEL DROP: MPB-09

Source: Silent Wharf
Clearance Level: BLACK VEIL

Operative mmoja wa daraja la katikati kwenye safu ya Green Circuit, anayetambuliwa ndani ya mfumo kama MPB-09 (wakati mwingine hujulikana kwa jina la kificho “The Anointed Courier”), ameripotiwa kuondoka kwenye grid ya nyumbani (Zone TZ-ALFA) kupitia njia ya kivuli (Shadow Path 17) kuelekea Zone X-RAY.

Duru za ndani zimethibitisha kuwa mission aliyokabidhiwa haijaidhinishwa na maslahi ya The Vault. Licha ya mwonekano wa kawaida, ushahidi unaonesha kuwa huu ni mchakato wa Self-Serving Maneuver, operesheni ya kujinufaisha isiyoshirikisha core team ya usalama wa taifa.

⚠️ FIELD STATUS:

Hakuna wachezaji waliopangwa katika uwanja wa tukio. Ujumbe anaojaribu kuwasilisha haujaidhinishwa na Council of Balance, na huenda akajikuta kwenye loop ya maamuzi ya kujirudia mwenyewe.

Kwa lugha rahisi: ngoma anayoenda kuipiga, haina wa kucheza naye. Atabaki kuwa mnenguaji peke yake hadi jua litue Zone X-RAY.

📡 SIGINT Broadcast to MPB-09 (Public Channel Echo):

“Jukwaa limeandaliwa, taa zimemulika, lakini waimbaji wote wameondoka kimyakimya. Densi yako haitakuwa shoo – itakuwa mazoezi ya upweke. Usiku ni mrefu, na sakafu haina huruma.”

🧿 PREDICTED OUTCOME:

80% chance ya maumivu ya kisiasa ya baadae.

60% risk ya kusafishwa kutoka inner ring ya Green Circuit.

95% chance ya kurejea na nyayo za kukataliwa.

END OF DROP
Decrypt Only if You Know the Rhythm.
Kuzidecode hizi code uwe angalau na kadegree kanakohusiana na mambo ya phisics!
Nimekuja kuambulia mwisho pale kwenye PREDICTED OUTCOME, ndiko nikapata mwanga aargh, kumbe ndiye unayemwongelea!
Mbona utabiri huu ungelisubiri mwezi Augost ndiyo ukautoa?
Sasa hivi lolote linaweza likatokea na usiamini.
 
Nimechukua pen na karatasi nimevaa miwani ya kusomea pembeni kuna kikombe cha gahawa najiandaa kwa ajili ya mang'amuzi
 
Kile kisiwa hakitakuja kuendelea mpaka Yesu anarudi...
Kuna time revolution mkuu!
Mambo ya nyakati haya, waweza kukuta dunia imelenga kuwafikisha sehemu flani, lakini katika mapito yenu nd'o mnakumbana na visanga kama hivi!
Safari inaendelea na maendeleo mnaweza mkayafikia kabla ya dahari na Yesu akirudi anayakuta.
 
80% chance ya maumivu ya kisiasa ya baadae.

60% risk ya kusafishwa kutoka inner ring ya Green Circuit.

95% chance ya kurejea na nyayo za kukataliwa.
Seems like MPB-09 is off-script. Self-serving maneuver noted. Council of Balance disengagement confirms it's a solo act. The SIGINT echo is brutal; clear signal of isolation. High predicted political fallout, Green Circuit removal, and rejection. "Know the Rhythm" implies insider understanding. Link citation suggests real-world parallel for context.
 
Despite the risk of 60% there could be a 76% shift as a result of the risk
I can see minus 16% and this is an important factor to be dealt in the future
 
Back
Top Bottom