Yule bwana pale Igunga hakujibiwa kwa kejeli,aliaambiwa kafanye kazi.
Watanzania hawashurutishwi kumkubali JPM bali wanamkubali kutokana na upigaji kazi wake.
Hao wanaotukana wanashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
Kwani alijibiwa nini? Maana unataka kupotosha.Kilichosemwa wote tulikisikia, ila kwakuwa uko kwa ajili ya kutetea uovu, unataka kucheza na maneno. Huyo bwana aliyehoji alisema ana tatizo la kazi au kuna tatizo la mzunguko wa pesa? Au unadhani alichouliza yule jamaa na alichojibiwa ww tu ndio uliweza kusikia na kuelewa?
mkuu huyo kijana analipwa atakupotezea mudaUmesema kama wanakamatwa hovyo mbona mimi sijakamatwa, jibu langu likawa ni kutumia fake I'd kwakuwa tatizo ni ukosoaji.
Yule bwana pale Igunga hakujibiwa kwa kejeli,aliaambiwa kafanye kazi.
Watanzania hawashurutishwi kumkubali JPM bali wanamkubali kutokana na upigaji kazi wake.
Hao wanaotukana wanashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
Mh...Tuna ufahamu wa kuweza kujua kukubalika, na kulazimisha kukubalika. Unapoaminisha watu kuwa unakubalika, lakini chini yako kwenye chaguzi tunaona mambo ya kihayawani na ukatili wa wazi, hapo inabidi uwe mwandawazimu kuamini kuwa kuna kukubalika zaidi ya kushurutisha kukubalika.
Kwani alijibiwa nini? Maana unataka kupotosha.
Sikiliza kwa umakini ndio ujue umuhimu wa kutumia lugha nzuri. Na hakujibiwa vibaya.Kumbe wala hukusikia alichojibiwa, lakini unahisi alijibiwa kwa usahihi!
siyo maneno ya simanzi mkuu."Nimefurahi kuwaona hapa leo mimi nipo imara kwani sina kesi ya kufumaniwa wala sijaiba kuku ila ninalipa Gharama ya kupigania Demokrasia"
Maneno ya Mdude leo Mahakamani.
Hakika ni meno machache ila yanatafakalish sana na kutia simanzi. View attachment 1460791
Demokrasia gani anayoipigania huyu? anavuna alichokipanda [emoji23]
Asante kwa ushauri mkuu sasa tuzidi kuwa kitu kimoja kuna siku tutashinda.siyo maneno ya simanzi mkuu.
ni maneno yaliyojaa ujasiri mkubwa na kuleta hamasa ya mapambano kwa umma dhidi ya wakoloni weusi!
Deni gani hilo kiongozi?Deni likiisha atatoka.
Kaamua kuvaa viatu vya wazee wetu walio likomboa bara la AfrikaHuyu dogo ilibidi awe katika kizazi cha kina Mandela, Nyerere, Nkurumah na wengineo angefanya uhuru kupatikana mapema sana katika Nchi za Africa........Jamaa ni jasiri wa kustahili sifa.