Mpaluka Mdude Nyagali abadilishiwa mashtaka ya Uhujumu uchumi, asomewa ya Kusafirisha Dawa za Kulevya

Akili za bangi hizo

Siku akijua anajipotezea muda wa kuanzisha famila atakua hana uwezo wa kujaza mimba mwanamke

Endeleeni kumjaza ujinga muda hausubiri wajinga km hao
bia yetu wewe una watoto wangapi mpaka sasa kwani ?
mbona kuna watu maisha yao yote hawakuwahi kuwa na watoto licha ya kuwa na pesa na umaarufu ? mfano sherman hermsley ,mdude akizeeka hana mtoto kuna tatizo gani ?
 
Demokrasia huku Afrika ni mdudu gani huyo?ye anahangaikia tumbo lake kwa njia ya siasa na si demokrasia kama asemavyo
 
Ni mpuuzi tu hata hajui maana ya demokrasia

Nimemfuatilia kumbe aliishia la saba

Mtu aliyeishia la saba anajua hata maana ya demokrasia au anajua matusi tu
bia yetu wewe una watoto wangapi mpaka sasa kwani ?
mbona kuna watu maisha yao yote hawakuwahi kuwa na watoto licha ya kuwa na pesa na umaarufu ? mfano sherman hermsley ,mdude akizeeka hana mtoto kuna tatizo gani ?
 
Akili za bangi hizo

Siku akijua anajipotezea muda wa kuanzisha famila atakua hana uwezo wa kujaza mimba mwanamke

Endeleeni kumjaza ujinga muda hausubiri wajinga km hao
Mbona umehamaki sana?
 
Mkuu kubishana na huyo kichaa ni kupoteza muda wako
 
Akili za bangi hizo

Siku akijua anajipotezea muda wa kuanzisha famila atakua hana uwezo wa kujaza mimba mwanamke

Endeleeni kumjaza ujinga muda hausubiri wajinga km hao
Anatia huruma na nywele zake za kipilipili, 'makamanda' wamemtosa akili zinaendeshwa na njaa.
 
Wabunge wako wa CCM akina msukuma, Deo Sanga, Lameck waliishia darasa la ngapi kama siyo la saba? Halafu ndio wanaokutungia sheria ujue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…