Mpaluka Mdude Nyagali abadilishiwa mashtaka ya Uhujumu uchumi, asomewa ya Kusafirisha Dawa za Kulevya

Nilipopata taarifa za huyu bwana kuwa mpiga deki kwenye choo cha stand nilianza kuielewa CHADEMA na wanachama wake.
 
Serikali yoyote ambayo imeshindwa kuletea maendeleo wananchi wake kazi kubwa huwa ni kumpambana na raia wake wote wanajitambua ili wasije kuwaamsha mbumbumbu wengine.
 
kungekuwa na uhuru wa mahakama hiyo kesi wangeifukuza,hairuhusiwi kubadilisha mashitaka wakati kesi imeshafunguliwa,kama ni makosa ya mashitaka walitakiwa kuyaona hukohuko kabla ya kufungua kesi,!!
 
Tumuombee kwa kipi sasa, anatakiwa athibitishe mahakamani.

Kwani sisi ndio tulimtuma kumiliki heroine au kutukana viongozi.

Kwanza wewe mzushi unaandika kabambikiwa. Umejuaje? Acha mahakama iamue
Siku akiunga mkono juhudi yote haya yatakwisha! Sijui kwa nini? Kesi ya Wema Sepenga iliishia wapi?
 
Akili za bangi hizo

Siku akijua anajipotezea muda wa kuanzisha famila atakua hana uwezo wa kujaza mimba mwanamke

Endeleeni kumjaza ujinga muda hausubiri wajinga km hao
Bora yake inampa ufahamu....unayovuta ww imekufanyw uwe kibwengu zoba
 
safi sana iwe funzo kwa nyumbu wengine wasafirisha madawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…