Mpambano mkali sana: Wanawake wa Dar vs wa mikoani

Hahaha.
 
Ahaa jamii foram wamejaa wanawake wenye vidole vilivyokomaa[emoji2][emoji2]...nishajua,watoto wa dar wachache sana humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya tumekusikia
 
Mmh ndugu yangu.. Wa mjini hawakawii kukurekodi.. Hawakawii kukuletea mchepuko ukatambulishwa kama binamu... Hawakawii kukuomba simati foni na kodi au pesa ya kusukia sangita.... Wa mikoani nao hachelewi kukwambia mpeleke feri akale udaga na pweza

Hahahahaahhahh
Udaga
 
Tatizo wanawake wa dar ni fake kuanzia nywele, kucha, rangi ya mwili, mpaka wanaweka bikra fake siku hz. Muda mwingi wao kutengeneza mwili sijui wanapika saa ngapi
Mwisho anakuwa kama mdoli vile...
 
Hii dhana ya wa mikoani naona inapotoshwa, kuna mikoa siku hizi ni kama dar tu, labda mngesema wa vijijini na si mkoani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…