Mpambano mkali sana: Wanawake wa Dar vs wa mikoani

KUTOKANA NA HUU UZI KUWAVUTIA BARAZA LA WAZEE
KUANZIA LEO WAMEKUTEUA WEWE KUWA MWENYEKITI WA KAMATI YA FITNA[emoji1321]
 
Aisee wa kijijini ndo naowataka coz wanachapa kazi na sio wahuni. Wana maadili mema na wanatunza miili yao.
 
Wakati mwingine kaa kimya kuficha 'UPUUZI'wako
 
Mwanamke awe wa dar au mkoani akiamua kubadilika anabadilika,cku zote mwanamke hachungwi kama mbuzi Bali anajichunga mwenyewe kikubwa muombe mungu uchague chaguo lililo jema.
Mwanamke anaweza akawa mwema sana,akavumilia yote kwa upendo kabs ila matendo ya sirisiri na kuficha ficha mambo ya msingi
Mambo yakisha kwenda mlama ndio unakuja kumtulia,yaweza mbadilisha mwanmke
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Mwanamke akibadilika hujiumiza mwenyewe. Hekima inasema mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…