Mpambano mkali sana: Wanawake wa Dar vs wa mikoani

Hii game wa town washapigwa mapema tu. Mie ujue naishi mkoani. Yaani vitu wanavyofanya hawa madada wa huku ni nouma. Gunia la mpunga kg 150 anakokota kwa baiskeli na njia mbovu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii reply wa mjini wataisoma kimya kimya
 
Hii game wa town washapigwa mapema tu. Mie ujue naishi mkoani. Yaani vitu wanavyofanya hawa madada wa huku ni nouma. Gunia la mpunga kg 150 anakokota kwa baiskeli na njia mbovu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Wa Dar ntafanya mchepuko wa kuuuzia sura tuu,huyu wa mkoani ndio atakuwa wife material ila elimu mwisho Form 4.
 
kama kawa mashambulizi yanaendelea WATANYOOKA TU.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…