Mpambano mkali sana: Wanawake wa Dar vs wa mikoani

Ha ....

HIRIZI.

Zilizoonekana ni SITA, bila shaka kuna nyingine kwa mbele.

a9468c3b1a5c68e112f22cef0b00e26a.jpg
 
Dar ladies mmmh! Kwa siku moja anaweza kupanga wanaume watano.
1: Atamfuata bwana wa Kimara asubuhi ataenda kunywa supu na bia 2.Ataaga anamfuata shangazi ubungo( uongo).atapewa nauli ya tax, atapanda boda au UDART
2: Atampigia wa Mburahati atapewa hela ya nywele na nauli
3: Mchana atampigia wa Posta, wataenda kula Break point, atapewa nauli
4: Atabaki Posta ( atahamisha kijiwe tu) atapigwa bia ( hawalewi)
5: Jioni ataenda Kijitonyama atapiga chakula( mbuzi/ kuku na ndizi choma. Atakula raha hadi saa 5 .Atapewa nauli ya tax arejee home Magomeni. Atachukua bajaji huyooooo kama mwewe wa clouds.
Wanawake wa DSM kiboko
 
Kwa nchi ( Tanzania ) Wema Sepetu ni kila kitu sijaona mwanamke / mrembo wa kufanana nae
 
Dar ladies mmmh! Kwa siku moja anaweza kupanga wanaume watano.
1: Atamfuata bwana wa Kimara asubuhi ataenda kunywa supu na bia 2.Ataaga anamfuata shangazi ubungo( uongo).atapewa nauli ya tax, atapanda boda au UDART
2: Atampigia wa Mburahati atapewa hela ya nywele na nauli
3: Mchana atampigia wa Posta, wataenda kula Break point, atapewa nauli
4: Atabaki Posta ( atahamisha kijiwe tu) atapigwa bia ( hawalewi)
5: Jioni ataenda Kijitonyama atapiga chakula( mbuzi/ kuku na ndizi choma. Atakula raha hadi saa 5 .Atapewa nauli ya tax arejee home Magomeni. Atachukua bajaji huyooooo kama mwewe wa clouds.
Wanawake wa DSM kiboko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] funika bovu hii
 
Back
Top Bottom