edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Umechokoza nyukiHawa bila kwenda mbali ni Nigerians, haina ubishi hata kidogo. Sura ngumu kama hizi hapa Tanzania zinapatikana Kigoma, Mbeya, na baadhi ya sehemu za mkoa wa Kagera.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umechokoza nyukiHawa bila kwenda mbali ni Nigerians, haina ubishi hata kidogo. Sura ngumu kama hizi hapa Tanzania zinapatikana Kigoma, Mbeya, na baadhi ya sehemu za mkoa wa Kagera.
Msongo wa mawazo na maisha magumu yanayokukabili yasiwakwaze wengine washindwe kufurahi waonavyo wao. Uzi hauna tatizo lolote ila wewe ndio tatizo.Inatia huruma sana na pengine labda ni ufaa kwenye utosi..sababu inakuaje mwanaume unaejitambua kuandika uzi wa namna hii??
Mwanaume unaejitambua Unakuwaje na gallery yenye picha kama unazopost wewe..??
Unaweza ukakana uraia wako na kulia kabisa kuona kuna wachangiaji..rubbish kabisa!!
@namuhi wapuuzi hawajibiwi next time usipoteze muda wako kwa watu wa namna hii.. It won't do you any goodMsongo wa mawazo na maisha magumu yanayokukabili yasiwakwaze wengine washindwe kufurahi waonavyo wao. Uzi hauna tatizo lolote ila wewe ndio tatizo.
Hataree!!! Na uki ikagua hio baiskeli utagundua haina break. Hapo mwana mama akitaka kusimama lazima aweke mguu kwenye tyres.Dar hapa bila bila
Uende msalani sio barabarani.Nakojoaaaaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaiiiii. Mkojoze tuKitandaniiiii
Mleta mada wewe ni Ke au Me? Nauliza tu.Mpambano huu uwe na nia ya kuburudika lakini pia kujifunza na kuongeza ufahamu kuhusu jamii ya kaliba moja lakini mazingira tofauti wanavyoweza kutofautiana makubwa
Ni mpambano wa wanawake wa Dar vs wa mikoani, ni vema uwe tofauti kabisa na ule wa wanaume wa Dar vs wa mikoani ambao umegeuka kuwa dhihaka na kutambiana sometimes na matusi juu.....
Wanawake ni walezi wetu, ndio wanaotuzaa na mengine mengi... Bila wao maisha hayana maana sasa usikandie hapa halafu usiku ukalielie huko chumbani
Labda niseme tu kwamba kila upande una mazuri na mabaya yake. Wanaume wa dar wakiwa wamechoshwa na wanawake wa mjini ambao wanaenda na wakati mpaka wanasahau majukumu yao muhimu na wengi wakiwa jeuri na wajuaji hukimbilia mikoani vijijini kwenye mabinti ambao hawana shobo za kwenda na wakati...
Tatizo linakuja huyo wa kijijini unapofika bei na kumleta mjini... Ulimbukeni na ushamba huku akitaka kuiga ili aende na wakati hugeuka janga namba moja.....!!!
Mwisho maamuzi huwa magumu uchukue yupi? Mjuaji wa mjini au wife material wa kijijini!? Je akibadilika!?
Kuna mengi kati ya hawa ndugu wa jinsia moja wanaotenganishwa na mazingira... Twende kazi.
View attachment 701861
View attachment 701862
Haifunguki mbona?
Du!Bado bilabila