MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,575
- 53,613
- Thread starter
- #21
Wala mie sipo huko maana sijui kobaz ndio nini. Nachokushangaa ni wewe ambaye nchi yako ni maskini na hutegemea mahindi ya msaada kutoka Tanzania eti na wewe unasema vita inakupa burudani!! Yaani nchi maskini kama kenya mnashangilia vita?
Haupo wapi wewe kobaz, njaa inakutesa hapo, subiri kichapo kitembee kwa bwana wenu mliyekua mnamtegemea siku zote, yaani anavyopigwa hadi natamani nipige punyeto aki ya nani, napata raha sana.
Ona hata mrithi wa lile lizee lenu naye anusurika kufa Aliyekusudiwa kumrithi Ayatollah anusurika kuuawa, hapo bado hajateuliwa ila anawindwa