Mpambe Msaidizi wa Rais William Ruto ni Mwanamama Komandoo wa Jeshi

Mpambe Msaidizi wa Rais William Ruto ni Mwanamama Komandoo wa Jeshi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Tazama picha zake hapo chini

Anaenda kwa jina la Bi Damaris Agnetta

Luteni Kanali wa Jeshi la Kenya

Hongereni sana wakinaMama duniani kote kwa uwezo mkubwa mnaozidi kuuonyesha kila siku

Mungu azidi kuwabariki!

DGRu8h7kVqst4pzFaCbaAKYycYkM0SUOEOnw0x2O.jpg
JnPHrkZ2mlHIMV98Kx8askexCbdtCgKQzfkcq9Cs.jpg
 
Kwanini Mkuu?
Japo hujaniuliza mimi, ila tumeshaona waziri wa ulinzi mwanamke hapa itakuwa huyo mpambe tu. Kwanza mpambe zaidi ya kusogeza kiti, kubeba nyaraka na kuwakilisha jeshi ana lipi jipya?

Title imetaja ukomandoo kama ishu saana kimsingi hata angekuwa nani haina maana yoyote ikiwa atakuwa mpambe tu
 
Mwanajeshi ni uwakilishi wa jeshi pale alipo rais, ni inferiority ya mfumo wa utawala kwa nchi za kiafrika kuonyesha mabavu, kwamba alipo jeshi lipo msimchezee wala haina maana yoyote
Tuko Primitive sana, tunachojali ni matumbo yetu tu, na Ngono, Pombe,na kwenda kwa Waganga, ili tuwaroge Mabosi wetu ili tuchukue nafasi zao.

Tuige mazuri tujiongeze tuachane na hii style ya Mkoloni.
 
Sasa huyu anaweza vipi kumlinda Rutto? Ndiyo maana yule jamaa alikuwa anasema anaweza kuiteka Nairobi kwa wiki mbili. Gadhaffi aliyekuwa analindwa na mashoga yuko wapi? Hawa mashoga ni unreliable.
 
Japo hujaniuliza mimi, ila tumeshaona waziri wa ulinzi mwanamke hapa itakuwa huyo mpambe tu. Kwanza mpambe zaidi ya kusogeza kiti, kubeba nyaraka na kuwakilisha jeshi ana lipi jipya?

Title imetaja ukomandoo kama ishu saana kimsingi hata angekuwa nani haina maana yoyote ikiwa atakuwa mpambe tu
Kiufupi huyo jamaa ni muongo sana . Mafunzo ya commando hayafanyiki kwa mtu mwenye matiti na km. LABDA KAMA ALIFANYIA CHINA AU ULAYA KWENYE COMPUTER 🤣 Siku hizi mtu akifanya mafunzo ya scout anasema ni commando.
 
Tazama picha zake hapo chini

Anaenda kwa jina la Bi Damaris Agnetta

Luteni Kanali wa Jeshi la Kenya

Hongereni sana wakinaMama duniani kote kwa uwezo mkubwa mnaozidi kuuonyesha kila siku

Mungu azidi kuwabariki!

View attachment 2380990View attachment 2380993
Ukomandoo umeuonaje hapo?
Huyu ni ofisa tu wa juu wa jeshi!
Anaweza mapigano kama Yale ya navy seal,tunayoyaona kwenye depictions za movies,au hivi ni vyeo tu kutokana na kwamba kasoma sana taaluma ya kivita tu
 
Back
Top Bottom