Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mbona Maraisi wa Nchi zilizoendelea hatuoni Wanajeshi kumsindikiza Kiongozi?
Kwanini Mkuu?HII WALA SI HABARI KWA MIAKA HII. NI KITU CHA KAWAIDA.
Japo hujaniuliza mimi, ila tumeshaona waziri wa ulinzi mwanamke hapa itakuwa huyo mpambe tu. Kwanza mpambe zaidi ya kusogeza kiti, kubeba nyaraka na kuwakilisha jeshi ana lipi jipya?Kwanini Mkuu?
Lakini huwezi kuona Mwanajeshi aliyevalia camouflage combat uniform kukaa nyuma ya Kiongozi.Wanakuwa na watu wa usalama majasusi wakali mno waliovalia kiraia!
Mwanajeshi ni uwakilishi wa jeshi pale alipo rais, ni inferiority ya mfumo wa utawala kwa nchi za kiafrika kuonyesha mabavu, kwamba alipo jeshi lipo msimchezee wala haina maana yoyoteLakini huwezi kuona Mwanajeshi aliyevalia camouflage combat uniform kukaa nyuma ya Kiongozi.
Nami nimenotice.huyo wa juu ni mikorogoHii picha ya 1 na 2 naona chenga mingi kama tetracyline
Tuko Primitive sana, tunachojali ni matumbo yetu tu, na Ngono, Pombe,na kwenda kwa Waganga, ili tuwaroge Mabosi wetu ili tuchukue nafasi zao.Mwanajeshi ni uwakilishi wa jeshi pale alipo rais, ni inferiority ya mfumo wa utawala kwa nchi za kiafrika kuonyesha mabavu, kwamba alipo jeshi lipo msimchezee wala haina maana yoyote
Kiufupi huyo jamaa ni muongo sana . Mafunzo ya commando hayafanyiki kwa mtu mwenye matiti na km. LABDA KAMA ALIFANYIA CHINA AU ULAYA KWENYE COMPUTER 🤣 Siku hizi mtu akifanya mafunzo ya scout anasema ni commando.Japo hujaniuliza mimi, ila tumeshaona waziri wa ulinzi mwanamke hapa itakuwa huyo mpambe tu. Kwanza mpambe zaidi ya kusogeza kiti, kubeba nyaraka na kuwakilisha jeshi ana lipi jipya?
Title imetaja ukomandoo kama ishu saana kimsingi hata angekuwa nani haina maana yoyote ikiwa atakuwa mpambe tu
Kwa sababu ni kawaida sanaKwanini Mkuu?
Ukomandoo umeuonaje hapo?Tazama picha zake hapo chini
Anaenda kwa jina la Bi Damaris Agnetta
Luteni Kanali wa Jeshi la Kenya
Hongereni sana wakinaMama duniani kote kwa uwezo mkubwa mnaozidi kuuonyesha kila siku
Mungu azidi kuwabariki!
View attachment 2380990View attachment 2380993
Wapo Wengi sana. Wengi tu tulimaliza nao mafunzo na ndo maana nikakwambia kwa sasa siyo issue kubwa. Ni jambo la kawaida sana. Na wengine ni warembo sana acha huyo mwenye sura kama ya baba yake.Kwanini Mkuu?