Mpambe Msaidizi wa Rais William Ruto ni Mwanamama Komandoo wa Jeshi

Hamna komando hapo potii [emoji38]
 
Kiufupi huyo jamaa ni muongo sana . Mafunzo ya commando hayafanyiki kwa mtu mwenye matiti na km. LABDA KAMA ALIFANYIA CHINA AU ULAYA KWENYE COMPUTER [emoji1787] Siku hizi mtu akifanya mafunzo ya scout anasema ni commando.
Wanafikiri labda ukamando ni kama ule wa Komando Jide alias Jaydee, hahah Komando ni Elite soldiers sio kitoto kuwatrain mpaka kuwapata waliowiva.
 
Kazi kubwa ya Mpambe siyo body guard.
- Ni msaidizi was Rais kwa mambo madogo madogo.
- Pia Anavaa Uniform za Jeshi kwa NIABA ya Rais aliyechaguliwa kiraia ( Amiri Jeshi Mkuu ).
 
Mwanajeshi ni uwakilishi wa jeshi pale alipo rais, ni inferiority ya mfumo wa utawala kwa nchi za kiafrika kuonyesha mabavu, kwamba alipo jeshi lipo msimchezee wala haina maana yoyote
Exactly mkuu, madikteta ya kiafrika always wamezungukwa na show off hii, nchi sasa ina wapambe hadi kwa igp, cdf hadi RPC's why?,sijawahi kumwona president wa Botswana amezungukwa na utitiri huu,au president wa SA mwenye very powerful army hapa Africa upuuzi huu hana, why wasivae kiraia tu?,mbeba mfuko wa keys za kuanzisha nyukilia war wa president wa US always amevaa kiraia, haya ni mambo ya kutishana kusiko leta tija yeyote, tuachane na old fashion hii
 
Sasa huyu anaweza vipi kumlinda Rutto? Ndiyo maana yule jamaa alikuwa anasema anaweza kuiteka Nairobi kwa wiki mbili. Gadhaffi aliyekuwa analindwa na mashoga yuko wapi? Hawa mashoga ni unreliable.
kazi ya ADC sio kumlinda Rais
 
Amepitia mafunzo maalumu
 
Sasa huyu anaweza vipi kumlinda Rutto? Ndiyo maana yule jamaa alikuwa anasema anaweza kuiteka Nairobi kwa wiki mbili. Gadhaffi aliyekuwa analindwa na mashoga yuko wapi? Hawa mashoga ni unreliable.
Mpambe halindi
 
Ukomandoo umegawanyika.komando aliyehenya na komando aliyekuwa anaandaa vyakula vya makomando.Sasa huyo huenda alikuwa mpishi wa misosi ya wajeda
 
cha uongo hakuna commandos mwanamke Africa mashariki Kama sio duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…