Mpanda: Bwana Harusi Afanya Harusi Bila Bibi Harusi.Adai Maisha ni Kujipa Raha Mwenyewe

Bi harusi anaishi na mama yake tu. Ushaona mtoto anayeishi na mama yake tu anakuwa na akili?
Basi atakua kashapewa tabia za mama yake na hawezi kuolewa tena uyo yanakuaga majinga sana kila kitu lazima limwambie mama yake alafu yakiona kama una uhitaji ndio yanakutesa sana kwaio alicho kifanya Edo io ndio dawa yao na muda huu watakuwa huko wanaugulia maumivu 🀣🀣🀣
 
Waandishi wa habari fuatiliane mkahoji Bwana harusi,bibi harusi na wazazi na huyo aliyekuwa afungishe hiyo ndoa halafu muweke full story nini kilitokea hasa

Uandishi uliowekwa haujajitosheleza kwa kweli
Waandishi wa habari umewaona wapi? Kuna watoa taarifa Tanzania na sio waandishi
 
Kama ameweza kumfanyia hivyo siku ya harusi Kuna ulazima Gani wa kuendelea kuwa naye unless walifanya hivyo ni wazazi wa binti na sio binti mwenyewe.
 
Kama ameweza kumfanyia hivyo siku ya harusi Kuna ulazima Gani wa kuendelea kuwa naye unless walifanya hivyo ni wazazi wa binti na sio binti mwenyewe.
Amemkomesha ,Kwa nini alazimishe Kuoa mtu hamtaki?
 
Bi harusi anaishi na mama yake tu. Ushaona mtoto anayeishi na mama yake tu anakuwa na akili?
Mmeamua kututukania mama zetu sasa, kisa Kuna mtu kakataa kuolewa?
Kuna matukio kibao ya wanawake kukimbiwa siku ya harusi akiwemo mbunge wa zamani Viky Kamata lakini jamii inachukulia poa tu. Ila leo mwanaume kakimbiwa ndio mnakejeli wanawake.
Hakuna ajuaye kwanini Bibi harusi hakutokea, punguzeni mihemko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…