Mpanda: Bwana Harusi Afanya Harusi Bila Bibi Harusi.Adai Maisha ni Kujipa Raha Mwenyewe

Nampongeza jamaa aachane na hicho kituko aoe mwingine
 
Yani unataka hii iwe habari kubwa...Mzee hata ww haupo siriaz kichwani
Hapo kuna maswala makubwa sana ya kisheria ambayo nchi zingine mfungisha ndoa na huyo aliyezuia wangeweza buruzwa mahakamani walipe fidia na gharama za usumbufu na udhalilishaji kwa bwana Harusi kama vigezo vilivyotumika kutofunga hiyo ndoa haviko kisheria

Sio swala dogo hilo ni kubwa tena mno
Basi ngoja infante hivi niwaombe eanasheria mawakili wafuatilie hilo swala wafungue kesi kwa niaba ya huyo mwanaume niachane na waandishi wa habari
 
Alafu mwamba alikua anacheza nyimbo inaimba
Bora niiinjoy🎶
Yanini niteseke rohoo🎶
Kama kupendaa Bora nimpende mama yaangu🎶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…