Mpanda ni sehemu ya chadema 70%, Pinda amepeleka wachakachuaji kila kona ila wananchi wako imara, sijui kama nani atashinda maana hilo ni mhimu kwa pinda ili aaminiwe na kurudishwa uwaziri mkuu. Nahisi watu wanaweza kujutia mioyoni na mshindi kupewa mtu ambayw sio. Tanzani sasa imeshaharibika maana mwizi wa kura ndiye kiongozi wa wananchi