Elections 2010 mpanda, nkenge vipi

Elections 2010 mpanda, nkenge vipi

bulunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
303
Reaction score
49
nataka kujua kama kuna mtu keshapata matokeo vituoni kabla ya kuchakachuliwa, maana bby this time lazima wamemaliza kuhesabu :caked:
 
Kwa Nkenge ni formality tu mama Assumpta atashinda. Fuatilia matokeo ya sehemu nyingine
 
Mpanda ni sehemu ya chadema 70%, Pinda amepeleka wachakachuaji kila kona ila wananchi wako imara, sijui kama nani atashinda maana hilo ni mhimu kwa pinda ili aaminiwe na kurudishwa uwaziri mkuu. Nahisi watu wanaweza kujutia mioyoni na mshindi kupewa mtu ambayw sio. Tanzani sasa imeshaharibika maana mwizi wa kura ndiye kiongozi wa wananchi
 
punguzeni presha wadau, matokeo bado wanatia chumvi na nyanya :smile-big:
 
lolote laweza kutokea, songea wanjilaumu sana kwa kuichagua ccm, hasa baada ya kusikia mikoa mingine wameipiga chini
 
tehe pinda lazima anyooke atakapoona chadema wana prevail.
 
Mpanda Chadema wametangazwa washindi, na Nkenge CCM wameshinda.
 
Mpanda Mjini Chadema wamechukua kwa tofauti ndogo sana ya kura dhidi ya mgombea wa CCM.

Mpanda Vijijini kama kawaida ya vijiji vingine wameamua kuendelea na CCM yao!!

CUF wameongeza viti vingine 3 kutoka Zanzibar!!
 
Back
Top Bottom