Mpanda: Tundu Lissu ayalipua Maridhiano, Kingai, Byakanwa na Wambura Watajwa

Unaongelea nini mkuu mbona kama hauna akili timamu, au umelewa
 
Hapana mkuu! Ukilipa kisasi haimpi mtu kujitofautisha na wao
Muache lisu aendelee na misimo yake wewe endelea na misimamo yake. Kama nakumbuka vizuri uliandika gazeti hapa kwamba watu wasiwalazimishe watu wote kumuina lisu shujaa. Sasa unahamanika nn hata asiposamehe?
Tunaomuunga mkono lisu tunafanya hivyo kwakuwa tunajua misimamo yake kwa taifa letu. Hajawahi kuyumbishwa na mpuuzi yeyote. Tulimfahamu LISU tangu mnayemuita shujaa akishangilia huku madini yetu yakiuzwa na kina mkapa naye akiwa naibu na baadae waziri? Ulishawahi msikia Magufuli akipinnga bungeni.
Soma kwanza kitabu cha wahariri
 
Mwambie akalipize ikiwa yeye anaona atakuwa salama tuu! Kulipiza hakujawahi kuwa Amani mkuu
 
Mwambie akalipize ikiwa yeye anaona atakuwa salama tuu! Kulipiza hakujawahi kuwa Amani mkuu
Wewe acha kupangia watu vya kufanya. Mbona hujawahi kulaumu hata wale waliokataza asiombewe wala kuchangiwa damu akiwa mahututi? Kunya anye kuku akinya bata kaharisha?
 
Wewe acha kupangia watu vya kufanya. Mbona hujawahi kulaumu hata wale waliokataza asiombewe wala kuchangiwa damu akiwa mahututi? Kunya anye kuku akinya bata kaharisha?
Sawa mkuu! Kila la kheri
 
Wajitoe kwenye .maridhiano kama kweli wako serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…