Hapa ndipo Watz wanaweza ona jinsi huu utawala wa mafisi wa CCM wasivokuwa na utu!Wafanyabiashara wadogo katika Soko la Kilimahewa, linalotumiwa na machinga wadogo, wameathirika baada ya vitu vyao kubomolewa kwa madai ya kutengeneza mitaro.
Tukio hilo limeibua maswali kuhusu namna zoezi hilo lilivyotekelezwa na athari zake kwa wafanyabiashara wanaotegemea biashara hizo kujipatia kipato cha kila siku.
Je, wafanyabiashara walipewa taarifa ya mapema kabla ya kubomolewa kwa vitu vyao JIBU hapana.
Wakina mama wanaangaika huku na kule kuokoa mali zao kwani ndio msingi mkuu wa maisha yao.
Yes,
Wafanyabiashara wadogo katika Soko la Kilimahewa, linalotumiwa na machinga wadogo, wameathirika baada ya vitu vyao kubomolewa kwa madai ya kutengeneza mitaro.
Tukio hilo limeibua maswali kuhusu namna zoezi hilo lilivyotekelezwa na athari zake kwa wafanyabiashara wanaotegemea biashara hizo kujipatia kipato cha kila siku.
Je, wafanyabiashara walipewa taarifa ya mapema kabla ya kubomolewa kwa vitu vyao JIBU hapana.
Wakina mama wanaangaika huku na kule kuokoa mali zao kwani ndio msingi mkuu wa maisha yao.
Casualty is is a person killed or wounded in war ,accident or disease so how does that apply to the Katavi fiasco?Yes,
katika kuboresha miundombinu na kupanga miji na kuiweka safi wakati wote ni lazima kuondoa mazoea, lakini ni lazima kuchukua hatua na maamuzi magumu.
there might be casualties.
well done mpanda Administration 🐒
Gentleman,Casualty is is a person killed or wounded in war ,accident or disease so how does that apply to the Katavi fiasco?
Dahh !!!