- Thread starter
- #181
Ahsante kwa ushauri, tu nakwenda nae kisheria kwanza akiendelea kuwa jeuri ushauri wako utatekelezwa kikamilifu ! Anacheza na mali za watu!Mkuu unataka tumhamishe kienyeji?
Bila kushirikisha serikali, Bila kuvunja chumba chake wala kumdhuru ?
Bibi yangu anamkandamiza huyo ndani ya siku chache tu anahama