Mpangaji agoma kuhama baada ya mkataba kuisha. Nitumie mbinu gani kumtoa kwenye nyumba yangu?

Mkuu unataka tumhamishe kienyeji?

Bila kushirikisha serikali, Bila kuvunja chumba chake wala kumdhuru ?

Bibi yangu anamkandamiza huyo ndani ya siku chache tu anahama
Ahsante kwa ushauri, tu nakwenda nae kisheria kwanza akiendelea kuwa jeuri ushauri wako utatekelezwa kikamilifu ! Anacheza na mali za watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…