TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
haiwezi kuwa fair sababu ni biashara boss ina taratibu zake,pia kuhama hama kwa wapangaji kiholela kunachafua jina la nyumba.Fanya fair, kubaliana naye kwamba utamlipa ila hela unayotegemea ni ya mpangaji atakayeingia kwenye hicho chumba atakachotoka.
Na unamlipa kuanzia mpangaji mpya alipoingia mpaka tar aliyotakiwa kuondoka.
haiwezi kuwa fair sababu ni biashara boss ina taratibu zake,pia kuhama hama kwa wapangaji kiholela kunachafua jina la nyumba.
Pia si rahisi kupata mteja kwa kipindi hiki mpk mwaka mpya wa masomo utapoanza maana wateja ni wanafunzi wa vyuo hii imaweza nifanya nikae mwaka mzima bila kutengeneza faida from that house.
Nahisi ana frastuation coz hajawai ibiwa anavyodai nilimpeleka mpk polisi kuchukua RB na nimeanza kufatilia waliomuibia naamini watapatikana lakini yy analilia kuhama .

Ukileta huruma zisizo na faida Kwenye biashara ndio mwanzo wa kufiilisika nankuchekwa na wanaokuzunguka.Hebu reverse situation, fanya wewe ni mpangaji unaibiwa kwa style hiyo, utafanyaje? Utaendelea kujenga imani ya mahali hapo...!? Kulilia kuhama ni haki yake, hujui alisota vipi kununua hivyo alivyoibiwa pamoja na kupata hiyo kodi. Tumia busara angalia amebakiza muda gani ili kodi iishe, hata usipomrudishia yote angalau fanya kitu kimpunguzie maumivu! Unaweza kumkata asilimia kadhaa...
Kuhusu kupata wapangaji, wapo tu! Biashara si kupata faida kila wakati, huwa upo wakati wa kupoteza pia!
Ukileta huruma zisizo na faida Kwenye biashara ndio mwanzo wa kufiilisika nankuchekwa na wanaokuzunguka.
As long as mkataba upo na uheshimiwe hivi unadhani hawa wapangaji ikitokea jengo lina tatizo watakuvumilia sana sana watongea shit kuhusu nyumba yako ili usipate wapangaji wengine.
Hivyo cha msingi hapa vipengele vya Kwenye mkataba viheshimiwe.
Unachoongea upo sahihi kiongozi katika capitalism economy mambo ndio yapo hivyo.Kama wewe ni capitalist unafata mkataba unasemaje. Kila abiria achunge mzigo wake, au huwa analipia hela ya ulinzi kwako?
Wewe hujatuma wezi wala haulazimiki kisheria kumrudishia fedha. Ningeibiwa mimi nisingekudai kodi, angeibiwa mpangaji wangu nisingemrudishia kodi. Mkataba haupo kama mapambo
Ukitaka ujue wapangaji hawana huruma jaribu siku moja zima main switch harafu waambie kuna short ya umeme kwny nyumba hvyo tuchange hata jero jero ili tumuite fundi kishoka aweke mambo sawa utaona majibu utakayopokea kama haujatukanwa wakati giza ni la wote nilifanya hvyo siku moja wapangaji nane watatu tu ndio walilipa jero jero wengine wakasema haiwahusu.Ukileta huruma zisizo na faida Kwenye biashara ndio mwanzo wa kufiilisika nankuchekwa na wanaokuzunguka.
As long as mkataba upo na uheshimiwe hivi unadhani hawa wapangaji ikitokea jengo lina tatizo watakuvumilia sana sana watongea shit kuhusu nyumba yako ili usipate wapangaji wengine.
Hivyo cha msingi hapa vipengele vya Kwenye mkataba viheshimiwe.
Upo sahihi kiongozi wewe ni mwelevu lakini huyu kijana ni mshindani huwa mm nafanyaga hvyo mara nyingi lakini yy ni mtu mwenye chuki na wivu na mshindani sana anataka kushindana welevu wa sheria badala ya yeye ku join nguvu ili tumkamate mualifu na akiondoka hatofanikiwa kumpata mwizi wake inabdi hawe mwanamme na wala sio wa kiume maana mwanamme akimbii matatizo.Fanya fair, kubaliana naye kwamba utamlipa ila hela unayotegemea ni ya mpangaji atakayeingia kwenye hicho chumba atakachotoka.
Na unamlipa kuanzia mpangaji mpya alipoingia mpaka tar aliyotakiwa kuondoka.
Haujaeleza ila inabdi tuweke vipengere kama hivyo kwenye mikataba yetu pia tusisahau kipengere cha usuluhishi yaani je ni nani atahusika na kutatua migogoro pindi inapotokea.πππMkataba unasema mpangaji akiibiwa unamlipa au unarudisha kodi?
Sijaja kuomba ushauri hapa ,nimeanzisha thread tu kama thread nyingine zinavyoanzishwa ndio maana kwenye thread hakuna neno ushauri.Wee jamaa Mwenye nyumba kaa kama Miaka Kumi ivi kuanzia leo then utaona kama ulistahili kuomba ushauri kwa Swala dogo kama hili
Wee jamaa Mwenye nyumba kaa kama Miaka Kumi ivi kuanzia leo then utaona kama ulistahili kuomba ushauri kwa Swala dogo kama hili
Kweli kabisa,Waswahili wanasema abiria chunga mzigo wako.Huo ni uzembe wake...
Wezi kuingia kwenye chumba chake,wewe unakuwa liable kivipi?Habari wadau!
Kuna mpangaji wangu amechukua hatua ya kwenda kushitaki na kuomba muafaka ili arudishiwe kodi yake baada ya wezi kuingia chumbani kwake na kumuibia baada ya kusahau kufunga mlango.
Sasa ameomba nimrudishie kodi yake kitu ambacho nilikiweka wazi kwenye mkataba kwamba hakuna pesa itakayorudishwa iwapo mpangaji ataamua kuvunja mkataba na kuhama kwa hiyali yake.
Hii imekaaje wadau,je mkataba kama huu unambana mpangaji?