bongo man
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,054
- 2,348
Kwanza nilitaka kujua hiyo biashara ya kupanga ndo tegemeo lako pekee au una shughuri nyingine ? Mimi ni pia nafanya biashara ya kupangisha kosa kubwa nililokuwa nalifanya kuwapetpeti wapangaji aise hadi balb ikiingua kwake anataka ni nunnue aise nikachoka hsdi leo uninga2 ujinga staki umeibiwa umeunguza kitu nyimba imepata short ni juu yako kumleta fundi kutengeneza labda iwe nyumba nzima.