Mpangaji ataifisha nyumba kwa amri ya mahakama/ kesi ya madai

Mzee makoti

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2016
Posts
3,482
Reaction score
4,673
Wakuu habari,

Week iliyopita bwana nikiwa kwenye misafara yangu kule maeneo ya kunduchi ununio,
Sasa nikakuta vurugu pale kunduchi mtongani,

Polisi purukushani na Raia,

Sasa hiko ivi: KUNA jamaa pale mtongani ana nyumba mbele Ina mafremu ya biashara Kama matatu hivi, Kuna fremu moja amempangisha jamaa aliweka butcher, Sasa kumbe akawa anamdai Kodi yule mwenye butcher akawa anamzungusha,

Imeenda enda,hiyo kesi tangu mwaka wa juzi nasikia, Sasa Kuna siku yule mpangaji wa butcher akawaagiza watu wakamletea nyama alfajili ,wakafungua wakamuwekea ndani kwenye mafriji,then wakasepa.

Walivyoondoka wale walioleta nyama, huku nyuma baba mwenye nyumba akachukua kufuli lake akafunga kwa juu yake pale kwenye lango la fremu, sasa bwana Jamaa mwenye butcher anafika asubui hili afungue afanye biashara,anakuta Kuna kufuli juu ya kufuli lake, mmh, akajiuliza kulikoni"

Ikabidi amuite baba mwenye nyumba hili amuulize kulikoni"
Baba mwenye nyumba akamjibu" sifungui Hadi unipe Kodi yangu , Jamaa akamlai Sana amfungulie afanye biashara Kwanza,hayo mengine watayamaliza tu,

Baba mwenye nyumba akagoma katakata, jamaa akaita Hadi watu wakaribu wamshawishi father house lakini wapi, Basi bwana kilichofuata Sasa......

Jamaa yule mwenye butcher akaenda serikali za mtaa kushtaki,Bado mwenye nyumba anachotaka pesa yake tu, yule wa butcher sikuile akahamua aondoke akarudi Baada ya week, akaenda baraza la kata kushtaki nasikia,, kesi ikasikilizwa, mwenye nyumba anaitwa haendi,

Mara kesi ikaenda mahakama ya mwanzo, amri ikatoka jamaa amlipe, maana nyama ilishaharibika kwa muda wote huo, jamaa mahakamani akawa haendi analeta tu usela mavi,
Deni na ghalama ya kesi ikafika milioni nane nasikia, Bado jamaa ana dhalau, Sasa ikafikia nyumba yake ikafanyiwa valuation ,ikauzwa kwa mnada kwa Bei ya milioni 11,

Hila kiukweli pale thamani tu ya eneo inafika milioni 35 au Zaid, Basi nyumba ikauzwa, mdai akapewa pesa zake,

Sasa aliyenunua kipindi chote hiko alikuwa kimiya, wale wakapelekewa taarifa wahame Bado wanakaidi, aliyenunua nyumba akaenda mahakamani kuwambia wamuhamishe hili apate nyumba yake, Basi wiki iliyopita ndio polisi Sasa kwa amri ya mahakama wakaenda hili wamuhamishe jamaa,
Kufika pale wanamkuta mzee wa watu na kitaulo anatoka kuoga, wanamuambia kavae suruali tuondoke,Kwanza umedhalau mahakama kipindi chote,pili tumekuja kukuhamisha, mzee akagoma, Basi polisi wakamshika hili wamtie kwenye difenda lao, bwana mzee akawa mtata, mara paaaap Taulo likaanguka mbele ya watoto na wajukuu, na watu Wengine, wanae Wengine ni madereva wa bajaji, Basi ikawa vurugu Hadi gari ya polisi ikavunjwa vioo na raia,

Mwisho wa siku polisi wakaondokanae, na aliyenunua nyumba akakabidhiwa nyumba yake,

Siku ya pili polisi walirudi na madifenda nasikia Kama yote, walibeba aliyekuwemo, na asiyekuwemo, kisa walivunjiwa gari yao, .

CHA KUJIFUNZA WENYE NYUMBA AU WATU TUSIPENDE KUTUMIA UBABE AU NGUVU, ITATUGHALIMU KISHERIA,

mwandiko mbaya nimepiga bapa mtanisamehe!
 
Kuna mjaluo mmoja Tabata ilikuwa ndio zake jamaa anamiliki Zaidi ya nyumba Kumi Na sita Kwa staili hiyo anaenda anapanga chumba halafu baadae mwenye nyumba ana mzingua kesi inakwenda mahakamani Kisha nyumba inapigwa mnada Kwa Bei nafuu anainunua yeye mwenyewe...

Ila mwisho WA siku walimpiga vata alikufa alidhulumu nyumba ya Mpemba Kwa staili hiyo
 
Wakuu habari,

Week iliyopita bwana nikiwa kwenye misafara yangu kule maeneo ya kunduchi ununio,
Sasa nikakuta vurugu pale kunduchi mtongani,

Polisi purukushani na Raia,

Sasa hiko ivi: KUNA jamaa pale mtongani ana nyumba mbele Ina mafremu ya biashara Kama matatu hivi, Kuna fremu moja amempangisha jamaa aliweka butcher, Sasa kumbe akawa anamdai Kodi yule mwenye butcher akawa anamzungusha,

Imeenda enda,hiyo kesi tangu mwaka wa juzi nasikia, Sasa Kuna siku yule mpangaji wa butcher akawaagiza watu wakamletea nyama alfajili ,wakafungua wakamuwekea ndani kwenye mafriji,then wakasepa.

Walivyoondoka wale walioleta nyama, huku nyuma baba mwenye nyumba akachukua kufuli lake akafunga kwa juu yake pale kwenye lango la fremu, sasa bwana Jamaa mwenye butcher anafika asubui hili afungue afanye biashara,anakuta Kuna kufuli juu ya kufuli lake, mmh, akajiuliza kulikoni"

Ikabidi amuite baba mwenye nyumba hili amuulize kulikoni"
Baba mwenye nyumba akamjibu" sifungui Hadi unipe Kodi yangu , Jamaa akamlai Sana amfungulie afanye biashara Kwanza,hayo mengine watayamaliza tu,

Baba mwenye nyumba akagoma katakata, jamaa akaita Hadi watu wakaribu wamshawishi father house lakini wapi, Basi bwana kilichofuata Sasa......

Jamaa yule mwenye butcher akaenda serikali za mtaa kushtaki,Bado mwenye nyumba anachotaka pesa yake tu, yule wa butcher sikuile akahamua aondoke akarudi Baada ya week, akaenda baraza la kata kushtaki nasikia,, kesi ikasikilizwa, mwenye nyumba anaitwa haendi,

Mara kesi ikaenda mahakama ya mwanzo, amri ikatoka jamaa amlipe, maana nyama ilishaharibika kwa muda wote huo, jamaa mahakamani akawa haendi analeta tu usela mavi,
Deni na ghalama ya kesi ikafika milioni nane nasikia, Bado jamaa ana dhalau, Sasa ikafikia nyumba yake ikafanyiwa valuation ,ikauzwa kwa mnada kwa Bei ya milioni 11,

Hila kiukweli pale thamani tu ya eneo inafika milioni 35 au Zaid, Basi nyumba ikauzwa, mdai akapewa pesa zake,

Sasa aliyenunua kipindi chote hiko alikuwa kimiya, wale wakapelekewa taarifa wahame Bado wanakaidi, aliyenunua nyumba akaenda mahakamani kuwambia wamuhamishe hili apate nyumba yake, Basi wiki iliyopita ndio polisi Sasa kwa amri ya mahakama wakaenda hili wamuhamishe jamaa,
Kufika pale wanamkuta mzee wa watu na kitaulo anatoka kuoga, wanamuambia kavae suruali tuondoke,Kwanza umedhalau mahakama kipindi chote,pili tumekuja kukuhamisha, mzee akagoma, Basi polisi wakamshika hili wamtie kwenye difenda lao, bwana mzee akawa mtata, mara paaaap Taulo likaanguka mbele ya watoto na wajukuu, na watu Wengine, wanae Wengine ni madereva wa bajaji, Basi ikawa vurugu Hadi gari ya polisi ikavunjwa vioo na raia,

Mwisho wa siku polisi wakaondokanae, na aliyenunua nyumba akakabidhiwa nyumba yake,

Siku ya pili polisi walirudi na madifenda nasikia Kama yote, walibeba aliyekuwemo, na asiyekuwemo, kisa walivunjiwa gari yao, .

CHA KUJIFUNZA WENYE NYUMBA AU WATU TUSIPENDE KUTUMIA UBABE AU NGUVU, ITATUGHALIMU KISHERIA,

mwandiko mbaya nimepiga bapa mtanisamehe!
Mamlaka zinaona ni Hali kesi kuamuliwa hivyo? Madai ya m8 ilifikiwaje? Nyama iliyohifadhuwa ilikuwa ngombe 8 kila mmoja kilo 100 au? Adhabu iendane na kosa. Pande zote zipate haki. Tatizo hadithi kama hii unakuja gundua Kuna mkono wa mtu wa serikali au rushwa iliyopelekea mtu kudhulumiwa nyumba kisa madai. Kuidharau mahakama ni kesi ya jinai. Haisababishi Mali kuuzwa. Madai ya milioni 8 ilifikiwaje? Au 11m. Simtetei mwenye nyumba ila Kuna harufu ya rushwa .
 
Kwamba mpangaji alikua sahihi kutokulipa kodi? Hii hadithi yako ipeleke kwenye kwenye shule ya awali kuwatisha watoto wanaojifunza kusoma
 
Mamlaka zinaona ni Hali kesi kuamuliwa hivyo? Madai ya m8 ilifikiwaje? Nyama iliyohifadhuwa ilikuwa ngombe 8 kila mmoja kilo 100 au? Adhabu iendane na kosa. Pande zote zipate haki. Tatizo hadithi kama hii unakuja gundua Kuna mkono wa mtu wa serikali au rushwa iliyopelekea mtu kudhulumiwa nyumba kisa madai. Kuidharau mahakama ni kesi ya jinai. Haisababishi Mali kuuzwa. Madai ya milioni 8 ilifikiwaje? Au 11m. Simtetei mwenye nyumba ila Kuna harufu ya rushwa .
Nimefanya kazi kwenye collection company.

Kama mteja tunayemdai ameitwa mahakamani na amegoma maamuzi yanaweza kufanywa bila uwepo wake.

Ambacho naona ugumu ni gharama ya kesi na madai kufika 8M.

Na maelezo ya kwamba mwenye nyumba alidai mtu kodi kwa miaka 3 au imemaanisha hii kesi ilikua inazunguka tu kwa miaka 3.
 
Wakuu habari,

Week iliyopita bwana nikiwa kwenye misafara yangu kule maeneo ya kunduchi ununio,
Sasa nikakuta vurugu pale kunduchi mtongani,

Polisi purukushani na Raia,

Sasa hiko ivi: KUNA jamaa pale mtongani ana nyumba mbele Ina mafremu ya biashara Kama matatu hivi, Kuna fremu moja amempangisha jamaa aliweka butcher, Sasa kumbe akawa anamdai Kodi yule mwenye butcher akawa anamzungusha,

Imeenda enda,hiyo kesi tangu mwaka wa juzi nasikia, Sasa Kuna siku yule mpangaji wa butcher akawaagiza watu wakamletea nyama alfajili ,wakafungua wakamuwekea ndani kwenye mafriji,then wakasepa.

Walivyoondoka wale walioleta nyama, huku nyuma baba mwenye nyumba akachukua kufuli lake akafunga kwa juu yake pale kwenye lango la fremu, sasa bwana Jamaa mwenye butcher anafika asubui hili afungue afanye biashara,anakuta Kuna kufuli juu ya kufuli lake, mmh, akajiuliza kulikoni"

Ikabidi amuite baba mwenye nyumba hili amuulize kulikoni"
Baba mwenye nyumba akamjibu" sifungui Hadi unipe Kodi yangu , Jamaa akamlai Sana amfungulie afanye biashara Kwanza,hayo mengine watayamaliza tu,

Baba mwenye nyumba akagoma katakata, jamaa akaita Hadi watu wakaribu wamshawishi father house lakini wapi, Basi bwana kilichofuata Sasa......

Jamaa yule mwenye butcher akaenda serikali za mtaa kushtaki,Bado mwenye nyumba anachotaka pesa yake tu, yule wa butcher sikuile akahamua aondoke akarudi Baada ya week, akaenda baraza la kata kushtaki nasikia,, kesi ikasikilizwa, mwenye nyumba anaitwa haendi,

Mara kesi ikaenda mahakama ya mwanzo, amri ikatoka jamaa amlipe, maana nyama ilishaharibika kwa muda wote huo, jamaa mahakamani akawa haendi analeta tu usela mavi,
Deni na ghalama ya kesi ikafika milioni nane nasikia, Bado jamaa ana dhalau, Sasa ikafikia nyumba yake ikafanyiwa valuation ,ikauzwa kwa mnada kwa Bei ya milioni 11,

Hila kiukweli pale thamani tu ya eneo inafika milioni 35 au Zaid, Basi nyumba ikauzwa, mdai akapewa pesa zake,

Sasa aliyenunua kipindi chote hiko alikuwa kimiya, wale wakapelekewa taarifa wahame Bado wanakaidi, aliyenunua nyumba akaenda mahakamani kuwambia wamuhamishe hili apate nyumba yake, Basi wiki iliyopita ndio polisi Sasa kwa amri ya mahakama wakaenda hili wamuhamishe jamaa,
Kufika pale wanamkuta mzee wa watu na kitaulo anatoka kuoga, wanamuambia kavae suruali tuondoke,Kwanza umedhalau mahakama kipindi chote,pili tumekuja kukuhamisha, mzee akagoma, Basi polisi wakamshika hili wamtie kwenye difenda lao, bwana mzee akawa mtata, mara paaaap Taulo likaanguka mbele ya watoto na wajukuu, na watu Wengine, wanae Wengine ni madereva wa bajaji, Basi ikawa vurugu Hadi gari ya polisi ikavunjwa vioo na raia,

Mwisho wa siku polisi wakaondokanae, na aliyenunua nyumba akakabidhiwa nyumba yake,

Siku ya pili polisi walirudi na madifenda nasikia Kama yote, walibeba aliyekuwemo, na asiyekuwemo, kisa walivunjiwa gari yao, .

CHA KUJIFUNZA WENYE NYUMBA AU WATU TUSIPENDE KUTUMIA UBABE AU NGUVU, ITATUGHALIMU KISHERIA,

mwandiko mbaya nimepiga bapa mtanisamehe!
tea_mobama-_012515064953.jpg
 
Hiyo mahakama haijajishukulika kabisa na deni la huyo mpangaji kwa mwenye nyumba wao wameangalia miguu miwili ya nyama ili wauze nyumba hicho kitu hakiwezekani labda mtu aamue kudhurumu mali ya mtu kwa rushwa.
 
Mjini mipango
 
Hukumu hizi unazipata Mahakama za Tanzania pekee
 
Hiyo mahakama haijajishukulika kabisa na deni la huyo mpangaji kwa mwenye nyumba wao wameangalia miguu miwili ya nyama ili wauze nyumba hicho kitu hakiwezekani labda mtu aamue kudhurumu mali ya mtu kwa rushwa.
Tanzania kama huna hela, haki Yako inapokwa. Mimi NILIWAHI kumdai mpangaji wangu Kofi, mwisho wa siku alinipeleka polis kwa madai nimemfanyia fujo na kupandishwa mahakaman lengo niende jela, ikawa mpaka mipango inasukwa nisipate dhamana...Mungu mkubwa nilisaidika nikapata dhamana. Wapangaji ni wauwaji kbsa
 
Wakuu habari,

Week iliyopita bwana nikiwa kwenye misafara yangu kule maeneo ya kunduchi ununio,
Sasa nikakuta vurugu pale kunduchi mtongani,

Polisi purukushani na Raia,

Sasa hiko ivi: KUNA jamaa pale mtongani ana nyumba mbele Ina mafremu ya biashara Kama matatu hivi, Kuna fremu moja amempangisha jamaa aliweka butcher, Sasa kumbe akawa anamdai Kodi yule mwenye butcher akawa anamzungusha,

Imeenda enda,hiyo kesi tangu mwaka wa juzi nasikia, Sasa Kuna siku yule mpangaji wa butcher akawaagiza watu wakamletea nyama alfajili ,wakafungua wakamuwekea ndani kwenye mafriji,then wakasepa.

Walivyoondoka wale walioleta nyama, huku nyuma baba mwenye nyumba akachukua kufuli lake akafunga kwa juu yake pale kwenye lango la fremu, sasa bwana Jamaa mwenye butcher anafika asubui hili afungue afanye biashara,anakuta Kuna kufuli juu ya kufuli lake, mmh, akajiuliza kulikoni"

Ikabidi amuite baba mwenye nyumba hili amuulize kulikoni"
Baba mwenye nyumba akamjibu" sifungui Hadi unipe Kodi yangu , Jamaa akamlai Sana amfungulie afanye biashara Kwanza,hayo mengine watayamaliza tu,

Baba mwenye nyumba akagoma katakata, jamaa akaita Hadi watu wakaribu wamshawishi father house lakini wapi, Basi bwana kilichofuata Sasa......

Jamaa yule mwenye butcher akaenda serikali za mtaa kushtaki,Bado mwenye nyumba anachotaka pesa yake tu, yule wa butcher sikuile akahamua aondoke akarudi Baada ya week, akaenda baraza la kata kushtaki nasikia,, kesi ikasikilizwa, mwenye nyumba anaitwa haendi,

Mara kesi ikaenda mahakama ya mwanzo, amri ikatoka jamaa amlipe, maana nyama ilishaharibika kwa muda wote huo, jamaa mahakamani akawa haendi analeta tu usela mavi,
Deni na ghalama ya kesi ikafika milioni nane nasikia, Bado jamaa ana dhalau, Sasa ikafikia nyumba yake ikafanyiwa valuation ,ikauzwa kwa mnada kwa Bei ya milioni 11,

Hila kiukweli pale thamani tu ya eneo inafika milioni 35 au Zaid, Basi nyumba ikauzwa, mdai akapewa pesa zake,

Sasa aliyenunua kipindi chote hiko alikuwa kimiya, wale wakapelekewa taarifa wahame Bado wanakaidi, aliyenunua nyumba akaenda mahakamani kuwambia wamuhamishe hili apate nyumba yake, Basi wiki iliyopita ndio polisi Sasa kwa amri ya mahakama wakaenda hili wamuhamishe jamaa,
Kufika pale wanamkuta mzee wa watu na kitaulo anatoka kuoga, wanamuambia kavae suruali tuondoke,Kwanza umedhalau mahakama kipindi chote,pili tumekuja kukuhamisha, mzee akagoma, Basi polisi wakamshika hili wamtie kwenye difenda lao, bwana mzee akawa mtata, mara paaaap Taulo likaanguka mbele ya watoto na wajukuu, na watu Wengine, wanae Wengine ni madereva wa bajaji, Basi ikawa vurugu Hadi gari ya polisi ikavunjwa vioo na raia,

Mwisho wa siku polisi wakaondokanae, na aliyenunua nyumba akakabidhiwa nyumba yake,

Siku ya pili polisi walirudi na madifenda nasikia Kama yote, walibeba aliyekuwemo, na asiyekuwemo, kisa walivunjiwa gari yao, .

CHA KUJIFUNZA WENYE NYUMBA AU WATU TUSIPENDE KUTUMIA UBABE AU NGUVU, ITATUGHALIMU KISHERIA,

mwandiko mbaya nimepiga bapa mtanisamehe!
Na hakuna kitu kibaya ndugu zangu wa JF kama kudharau "samansi" ya mahakama. Workmate wangu kidogo akae ndani siku kumi na nne kwa kosa hilo kwenye "matrimonial case".
 
Back
Top Bottom