Mpangaji ataifisha nyumba kwa amri ya mahakama/ kesi ya madai

Yule Jamaa ni katili
 
Hiiiii?!!! Yaani hapo alitakiwa awaombe serikali ya mtaa ndio wakaweke kufuli, au laa serikali ya mtaa na mjumbe wangeenda kuvunja na kutoa mali zote na kuziandikisha na kuzikabidhi polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…