Mpangaji kanitega kwa kuniwekea kufuli lake kwenye mfuko wa suruali nilipoanika

Mpangaji kanitega kwa kuniwekea kufuli lake kwenye mfuko wa suruali nilipoanika

Dah kama mzuri kula kama kakaa kihovyo mwambie aje achukue kufuli lake ikibidi mtie na bakora na umkanye asirudie

Delta Force

 
Hii imekaaje wadau?nimfanyeje?ni mpangaji jinsia yake ni ke tena anamchumba ingawa huyo mchumba wake ndiye aliyempngishia hapa tunapoishi.Mchumba wake huyo inaonekana ana familia na mke ila huyo mwanamke aliyenifanyia kituko cha kuniwekea kuful lake kwenye mfuko wa surual ni mchepuko wake.
Tumezoeana kiasi,jana usiku kanitumia sms anataka kuja ndani mwangu kuangalia mzigo wake,je nimfanyeje?
Mtafune
 
Back
Top Bottom