Mkiu Kwetu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 261
- 278
We ni mvulana au kijana, au mbaba???
ushauri wako amgonge au amuache?
I'm the queen of my own empire. [emoji182]
MtafuneHii imekaaje wadau?nimfanyeje?ni mpangaji jinsia yake ni ke tena anamchumba ingawa huyo mchumba wake ndiye aliyempngishia hapa tunapoishi.Mchumba wake huyo inaonekana ana familia na mke ila huyo mwanamke aliyenifanyia kituko cha kuniwekea kuful lake kwenye mfuko wa surual ni mchepuko wake.
Tumezoeana kiasi,jana usiku kanitumia sms anataka kuja ndani mwangu kuangalia mzigo wake,je nimfanyeje?
HahahaDah kama mzuri kula kama kakaa kihovyo mwambie aje achukue kufuli lake ikibidi mtie na bakora na umkanye asirudie
Delta Force