Mpangaji mtata kulipa kodi na kuhama

Mpangaji mtata kulipa kodi na kuhama

Nenda kwa mwenyekiti wa mtaa akusaidie kuwahamisha watakapoenda wewe hapakuhusu. Huruma ikizidi inakua mateso
 
Usijaribu kuweka kofuli lako kwenye mlango wa huyo mpangaji,kuna mzee alimeekea mpangaji wake kofuli juu ya kofuli lake ili kumshinikiza alipe kodi,mpangaji akaja usiku na kukuta kofuli la mwenye nyumba limefungwa mlangoni,alichofanya mpangaji ni kutafuta sehemu ya kulala usiku huo,kisha kesho yake akaenda kwa mtaalam mmoja wa kuchonga funguo,mtaalam akaenda kulicheki kofuli na kwenda kuchonga funguo,mpangaji akarudi usiku akiwa na funguo zote mbili akafungua chumba na kusomba kila kitu,baada ya hapo akarudisha kofuli zote mbili,kesho yake akarudi kwa mwenye nyumba akiwa na pesa taslim za kodi anayodaiwa,akajifanya kushangaa kukuta kofuli zaidi ya lile lake,akamwita mwenye nyumba na kumuuliza kama kofuli hilo ni lake,mwenye nyumba akamweleza kuwa kofuli ni lake na hatolitoa hadi alipwe kodi yake,basi mpangaji akaomba sana msamaha kwa kuchelewesha kodi na kumuomba muda kidogo akatafute hela amlipe,akatoka akazunguka kidogo kisha akarudi na pesa yote,mwenye nyumba akafungua kofuli lake na mpangaji akafungua lake,juingia ndani hakuna kitu!! Mpangaji akaita viongozi wa serikali ya mtaa akimtaka mwenye nyumba arudishe vyombo vyake,ilikuwa shughuli haswa,ila mwisho ilibidi mwenye nyumba amlipe mpangaji hela sawa na za kujengea hicho chumba na zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh kuna watu mafiaa aisee...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, mwambie ahame bila kulipa kwa sasa lakini muandikiane na conditions pia tena polisi. Kumbuka anawatoto huyo, ukimfunga watahangaika. Tenda wema nenda zako,haimanishi usipopata hiyo fedha utakufa au kuwa masikini forever. Namaanisha hivi bora upate mpangaji mpya kuliko uendelee kukosa kodi
Hawawezi kwenda kujiandikisha polisi kwani hakuna jinai yoyote hapo, labda waende kwa wakili au viongozi wa serikali za mitaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasoma hizi comment kwa kuvaa viatu vya Mpangaji.

Kuna wakati mishe zote zina fail...sidhani kama kuna Mtu anatamani kufikia hatua hiyo ila ki ukweli ni mtihani kwa pande zote mbili...Kwa Mwenye nyumba maana anahitaji kipato, na huyo Mpangaji ambaye pesa hana.
 
Back
Top Bottom