Mpangaji mwenzangu amehama kisa shughuli zangu za kiuchumi zinamkera

Mpangaji mwenzangu amehama kisa shughuli zangu za kiuchumi zinamkera

Yan bongo jau, mtu ukiamua kuishi kwa standard yako wanasema unaringa,
Kwa hio mkuu huyo jamaa aendelee kuteseka na moshi kisa nn?
 
Yan bongo jau, mtu ukiamua kuishi kwa standard yako wanasema unaringa,
Kwa hio mkuu huyo jamaa aendelee kuteseka na moshi kisa nn?
Ndiyo maana niliomba nipewe angalau miezi kadhaa ili niweze kuhama matokeo yake amehama yeye baada ya kuona ombi langu limekubaliwa
 
Hamna namna nyingine waweza fanya kupunguza hiyo kero
Ila pia na mazingira anadai yalikua machafu kwamaana hiyo siyo moshi tuu, ingawa huwa najitahidi kusafisha baada ya kukamilisha Shughuli zangu
 
Iko namna hii
Kama hauvunji sheria katika mihangaiko yako. just ongeza bidii usijali wanasemaje ama wanakuonaje
Unajua sisi tunaofanya shughuli za kucheza na moto tunadharaulika sana mkuu ingawa ndiyo hizo zinasababisha watoto wetu wanaenda shuleni na hata kulipia Kodi
 
Ndiyo maana niliomba nipewe angalau miezi kadhaa ili niweze kuhama matokeo yake amehama yeye baada ya kuona ombi langu limekubaliwa
Sio kosa, siwez ishi kwa miez kadhaa hadi mwakani (manake miezi 12 hiv) kwa shida kisa shughuli zako mzee wakati naweza hama nikaishi kwa amani,

Hata mm ningefanya hivyo aisee
 
Jamaa ni muelewa sana kaona yasiwe mengi nyumba za kupanga ni nyingi si ajabu hajamaliza hata kodi yake..
Hata mimi ningefanya hivyo.
 
Uchumi gani ulionao umeshindwa kutafuta mbadala wa huo Moshi unaokera majirani na afya zao?
Karne hii bado unapiliza moto?
Pole sana ila kumbuka unaweza kukusanya hela zikaishia hospital ujue hilo
Ndio maana wamevumbua gas
 
Jamaa ni muelewa sana kaona yasiwe mengi nyumba za kupanga ni nyingi si ajabu hajamaliza hata kodi yake..
Hata mimi ningefanya hivyo.
Unaonaje hii busara angeitumia kabla hajaenda kwa wenye nyumba ili nipewe notes nihame, angekua ametisha eeeh
 
Uchumi gani ulionao umeshindwa kutafuta mbadala wa huo Moshi unaokera majirani na afya zao?
Karne hii bado unapiliza moto?
Pole sana ila kumbuka unaweza kukusanya hela zikaishia hospital ujue hilo
Ndio maana wamevumbua gas
Kwani napika ndani kwake mkuu, si napikia nje kama moshi unaingia hauwezi kuwa ule moshi ambao utaleta dameji kwa afya yake
 
Back
Top Bottom