Mpangaji mwenzangu ameninunia kisa siku hizi nimeacha kumtekenya

angalia faida ya jambo kabla ya kutenda,,,,,,,,mwanamke kununa kawaida yao ,,,,,,,,angalia hasara ya kununa kwake itakucost nin kama hakuna k2 mpotezee kwa muda uone atachofannya kwa kua umefanya maamuz mazur kuacha pombe
,,,,,,,,,then unaweza mwambia muulize umemkosea nn msameheane yaishe ,,,,,,,,,,,,,,,unaweza 2mia njia moja kat ya hzo
 
poa kamanda.
 
Haya ndio Matatizo ya JF naomba muanzishe makato kwa kila post
 
Nipe namba yake nimshauri

anaweza akamchukia jumla kwa kumuanika hadharan kua ''alikua anatekenywa na anafurahia........ww utapomshaur huyo mwanamke akikuuliza mbna mhusika hajamwmbia kuhusu mabadliko yake utasema nin.......pia inawezekana huyo mwanamke akawa na mimba changa ikamfanya awe na hasira huwez jua ,,,,,,,,,,,,,,labd nadhan aache muda utajb what next '''''patience pays''''
 
Kumbe ukinywa ndo unakuwa mjanja,usipo kunywa unageuka kituko.
 
Swali la kiwack sana hili..... we unataka tukushaur ukale p*ssy c ndiyo
 
Corrie Ten Boom lived through the hell of the holocaust and kept faith with GOD. What a Saviour Amen!
 
Hembu piga picha jinsi anavyobinua mdomo ili tuweze kuona anaashiria nin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…